juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Mkuu na wewe siulikuwa unamtetea Poch?In short kocha hatuna sijaona sababu ya kumtoa Mudryk nakumbakisha sterling,Pili wakati opponent wamechomoa kocha kaa tu na kakunya nne kwa kurelax utadhani anacheki movie hakuna cha kuhamasisha wala nini
Kama angekuwa Mudryk o Madueke angekaa bench mpk msim unaisha ila kwa kukuwa ni Sterlimg mech ijayo ya Burnley mtegemee kumuona akianza😂😂
- Misses a Penalty.
- Missed an easy 1v1.
- Sends a free-kick to the moon.
MudrickMakosa ni ya mwalimu
Tuombe uzima siku akija kocha Anaeleweka ndio mtajua.
Hakuna mchezaji anaejitafuta,mbinu za Poch ndio zinawafanya muone wanajitafuta.
Hii squad yetu na aina ya uchezaj wa poch ni vitu viwili tofauti.
Tunawachezaji wazuri ambao wanathiriwa na uwepo wa poch
Ukaaji wa Palmer unifurahisha sana amekosa kiboyaboya lakini shughuli yake ni nzitoChukwuemeka adai Cole Palmer ana IQ ya ajabu sana na anajua mpira
Mnasemaje wakuu
View attachment 2937547
Kitu ambacho namsapoti posh ambacho naona kaimprove team ni ule uwezo wa kuscore kama unakumbukumbu vizuri kuanzia TT, Potter pamoja Lampard ushindi wetu ulikuwa tumezidi sana 2 na ulifika hatua hata tukawa tunapata tabu kwenye katengeneza chance achia tu kufunga goalsMkuu na wewe siulikuwa unamtetea Poch?
Nafurahi nikiona taratib mnaanza kukubali uhalisia
Kocha akili zake zinamtosha yeye ,sterling kakosa penalty,kakosa bao la wazi kapiga nje kabisa no ontarget,kapewa faulo kapiga mnazi tena juu pembeni sio juu ya mwamba,kazuia goli la Mudrky,chakushangaza anatolewa Mudrky anaacha huyo mzee baba ,nilisikitika sana nikaendelea kukagua madaftari ya watoto na mitihani.baada ya kumtoa nikarudi kuangalia burudani.Leo sub ya huyu kilaza imefanya kazi vizuri
Kabahatisha au ndio anaanza kujifunza kitu
🔂🔛Chukwuemeka 76’ Madueke 83’
⚽⚽Chukwuemeka 90+2 ’Madueke 90+8’
Kuna utofauti Squad iliyokuwepo na hii.Kitu ambacho namsapoti posh ambacho naona kaimprove team ni ule uwezo wa kuscore kama unakumbukumbu vizuri kuanzia TT, Potter pamoja Lampard ushindi wetu ulikuwa tumezidi sana 2 na ulifika hatua hata tukawa tunapata tabu kwenye katengeneza chance achia tu kufunga goals
Elewa point ya mwisho niliyoandikaMudrick
Caicedo
Jackson
Nmeanza na hao kwanza,,,je,wamejipata,?
Caicedo yupo vizuri sana recently amekuwa akicheza vizuri sana hata jana alistahili kuwa man of the match sema tu hufuatilii mpira vizuri hata Jackson pia yupo good mchango wake kwenye team ni mkubwa sanaMudrick
Caicedo
Jackson
Nmeanza na hao kwanza,,,je,wamejipata,?
Sterling sio kwamba ni mchezaji mbaya sema tu Leo game imemkataa mazima hii inamtokea kila mchezajiKuanzia leo wachezaji wakienda kucheza mechi, STERLING abaki uwanja wa mazoezi afeke nyasi huku akiendelea kutafuta timu nyingine ya kucheza msimu ujao.
Caicedo bado, hachezi vibaya ila level ambayo kila mtu anajua anayo bado haijaonekana, ila uwezo wake unakua mdogo mdogo. Jana aliyestahili MOTM ni Gusto au Palmer ila kapewa Gusto na FACaicedo yupo vizuri sana recently amekuwa akicheza vizuri sana hata jana alistahili kuwa man of the match sema tu hufuatilii mpira vizuri hata Jackson pia yupo good mchango wake kwenye team ni mkubwa sana
Ndg, Sterling ni dangerous kabisa kwenye timu. Akicheza vizuri mechi 1, tano hadi nane anaganda kama barafu. No pressing, no defending na akipata mpira maamuzi ya kijiga jinga kama vile kapewa talaka ya kushtukiza na mwenzi wakeSterling sio kwamba ni mchezaji mbaya sema tu Leo game imemkataa mazima hii inamtokea kila mchezaji
Caicedo sio no 6 ndio maana huooni ile level yake ila anajitahidi sana kucheza cos mzigo wa kukaba anakuwa nao mkubwa cos Enzo hakabi kivileCaicedo bado, hachezi vibaya ila level ambayo kila mtu anajua anayo bado haijaonekana, ila uwezo wake unakua mdogo mdogo. Jana aliyestahili MOTM ni Gusto au Palmer ila kapewa Gusto na FA
Ukimtoa Palmer sterling ndio anafuata kwa kutoa assist nyingi kwenye kikosi huwezi kuniambia ni mbaya hata hii game pamoja ya kuwa imemkataa lakini katoa assist nzuri tu kwenda kwa PalmerNi mchezaji mbaya ndio maana Pep alimfukuza kama mbwa koko.
But yeye ndio anafuata kwa assist ukimtoa PalmerNdg, Sterling ni dangerous kabisa kwenye timu. Akicheza vizuri mechi 1, tano hadi nane anaganda kama barafu. No pressing, no defending na akipata mpira maamuzi ya kijiga jinga kama vile kapewa talaka ya kushtukiza na mwenzi wake
Ukiondoa ile assists kwa Palmer mechi yote hakufanya lolote au jitihada yeyote
Assist zipi hizo mkuu Sterling anazofata?But yeye ndio anafuata kwa assist ukimtoa Palmer
Ndugu kuna wakati uwe na brake. Timu za Championship zinacheza Futsol au Judo?Jinsi Poch anavyoongelea kwenda wembley kwa mara ya pili utasema njia aliyopita ilikuwa ngumu
Kumbe njia yenyewe ni 98% amecheza na team za championship
Sterling hafai, anaziba mwanya bure wa akina Mudryk na Madueke na sasa Chukwuemeka kukua. Auzwe kiangazi aende akakutane na wazee wenzake kule SaudiUkimtoa Palmer sterling ndio anafuata kwa kutoa assist nyingi kwenye kikosi huwezi kuniambia ni mbaya hata hii game pamoja ya kuwa imemkataa lakini katoa assist nzuri tu kwenda kwa Palmer