Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Kwa hiyo mkuu kwenye press conference yake yote baada ya kumfunga Leicester city umeona huo mstari mmoja tuwe need to enjoy and we need to trust more
Unataka kusema hii ndio kauli ya kujitapa? Hapana huu ni ujumbe kwenu msiwe na haraka na kila kitu kinachukua muda kukamilika. Ndio maana nikasema una mis enterpret maneno yake.
we need to enjoy and we need to trust more
Unataka kusema hii ndio kauli ya kujitapa? Hapana huu ni ujumbe kwenu msiwe na haraka na kila kitu kinachukua muda kukamilika. Ndio maana nikasema una mis enterpret maneno yake.
Mauricio Pochettino kwa kutinga nusu fainali ya Kombe la FA na kutoridhika kwa mashabiki.
"Ni jambo kubwa kucheza Wembley tena kwa mara ya pili msimu huu. Sisi ni [kikosi] cha karibu. Mashabiki wanahitaji kutuiamini. Niko hapa kwa sababu wamiliki wana imani nami."
View attachment 2939315
Mkuu we ushakuwa na mawazo kila post yangu au ya lembu unahisi watu wanachuki kila wanapomzungumzia kocha wakowe need to enjoy and we need to trust more
Unataka kusema hii ndio kauli ya kujitapa? Hapana huu ni ujumbe kwenu msiwe na haraka na kila kitu kinachukua muda kukamilika. Ndio maana nikasema una mis enterpret maneno yake.
Kila kocha alikuwa anawapa baadhi ya wachezaj (FA n Carling Cup wakat huo )japo wapo ambao baadae walitolewa kwa mkopo na ndio ukawa mwisho wao na wapo walioendelea vizuri na wapo waliopotezwa na poor loanTangia umeanza kuishabikia THE BLUES makocha wangapi wameliwahi kuwapa nafasi academic players?
Umemtaji Sarri na Lampard, makocha wengine?
Huo ni mstari kutoka kwenye screenshot alipost JuanKwa hiyo mkuu kwenye press conference yake yote baada ya kumfunga Leicester city umeona huo mstari mmoja tu
Tulikuwa na timu ya kubeba makombe wakati huo, na msisitizo haukuwekwa kwenye kuwapa nafasi hao watoto, ndio maana akina Salah, Kelvin na wengine wengi waliikimbia ChelseaTangia umeanza kuishabikia THE BLUES makocha wangapi wameliwahi kuwapa nafasi academic players?
Umemtaji Sarri na Lampard, makocha wengine?
Kwenye huo mstari uliouchukua hukuchukua sentensi yote na ndio shida yangu hapo. Kama unasema kweli unge quote sentensi yote aliyosema Poche. Soma ujumbe kwenye hiyo picha, ndicho alichokiongea huyo mtaalamu wenu kwamba anaifananisha Chelsea na Soton, kwamba mafanikio pekee ni kwenda kucheza kwenye uwanja wa Soton, tena kavunja rekodi ya Soton na Spurs kwa kuipeleka Chelsea Wembley mara mbili ndani ya miezi tisa, amei-downgrade Chelsea vibaya sana. Sisi sio wa kwenda Wembley tu bali na kushinda vikombe. Mwambieni ajue hayoHuo ni mstari kutoka kwenye screenshot alipost Juan
nAomba unitajie hizo mbarara mkuu?Project mpya imekusajilia mbarara nyingi kuliko za academy, hizo za academy utazitumia saa ngapi ili hali hizo zilizosajiliwa tuu nyingine hazijatumika?
Blueco imekuja na sera ya vijana tulitegemea academic players ndio wangepewa kipaumbele cha kwanza kuliko kusajili vijana wengi kutoka academy nyingine.
Bado ni walengwa hata urembe je! aidha wapewe nafasi au wapelekwe kwenye mkopo ili wakapate comnpetitive matches. Kocha anatakiwa aweze kusimamia hayoProject mpya imekusajilia mbarara nyingi kuliko za academy, hizo za academy utazitumia saa ngapi ili hali hizo zilizosajiliwa tuu nyingine hazijatumika?
Blueco imekuja na sera ya vijana tulitegemea academic players ndio wangepewa kipaumbele cha kwanza kuliko kusajili vijana wengi kutoka academy nyingine.
Nitajie watano tuUtajaza page 10, matumizi mabaya ya server
Hiyo ndio concern yanguUnashangaa academic players hawapewei nafasi ya kucheza, mbona hushangai wamiliki kununua wachezaji wengi wadogo ili hali wanapatikana academic yetu?
Upi mustakabali academic players wetu?
Hawezi kutajaNitajie watano tu
mbona hata hatujawahi kuona wakicheza, sasa wamekuaje mbarara na hawajawahi kucheza?Morgan
Smith
Matos
Moreira
Omari
Gabriel
Angelo
Washington
Paez
Casedei
Santos
List ni ndefu sana
[emoji117] Chelsea fc ya Blueco ni Project UCHWARA na KITAPELI.mbona hata hatujawahi kuona wakicheza, sasa wamekuaje mbarara na hawajawahi kucheza?
Hao kumbe ndio wanasabisha chelsea haifanyi viziri eeh?
We jamaaa hiv hao unawafatilia kweli? Au umeandika ilimradi umeandikaMorgan
Smith
Matos
Moreira
Omari
Gabriel
Angelo
Washington
Paez
Casedei
Santos
List ni ndefu sana
Huyo WA 13 tumemtoa wap?Kama kuna watu wanasema dirisha lililopita lilikuwa baya basi wao ndio wabaya
Kosa la matajiri wapya ni kuwa na sera ya kutosajili wachezaji zaidi ya 25yrs ila kwa hawa makinda, tutakuja kuelewa huu usajili ndani ya miaka miwili au mitatu ijayo
Uhamisho mzuri sana chini ya umiliki mpya wa Chelsea.
Wachezaji wote ambao tayari wako wanafanya vizuri au bila shaka watafanya vizuri juu ya matarajio ya ada zao ya uhamisho.
- Cole Palmer — £42m
- Nicolas Jackson — £32m
- Noni Madueke — £29m
- Malo Gusto — £27m
- Lesley Ugochukwu — £23.1m
- Carney Chukwuemeka — £20m
- Kendry Páez — £17m
- Djordje Petrovic — £14m
- Ângelo Gabriel— £13m
- Andrey Santos — £13m
- Cesare Casadei —£12.6m
- David Datro Fofana —£10.6m
- Hutchinson — £0m
- Levi Colwill — £0m
Hapo kwa kocha hapana sio kilaza[emoji117] Chelsea fc ya Blueco ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"