Nimeqmini jamaa hafatiliii mchezaj yupo u21,u20 wengine wametolewa kwa mkopo na wanafanya vizuri ila yeye anakwambia wako hovyombona hata hatujawahi kuona wakicheza, sasa wamekuaje mbarara na hawajawahi kucheza?
Hao kumbe ndio wanasabisha chelsea haifanyi viziri eeh?
We jamaa hujui unachokiandika umetaja wachezaj ambao huwafatilii unaanza lalamikaSasa chief binafsi huwa nalalamikia sajili za wachezaji injuries wanaokula mshahara bure, ujinga anaofanya paparazi, uchanga wa kikosi na maamuzi ya ovyo ya kiutendaji yanayofanywa na wamiliki wa timu.
[emoji117] Chelsea fc ya Blueco ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Alikuwa Arsenal akaondoka baada ya mkataba wake kuisha akaja Chelsea bureHuyo WA 13 tumemtoa wap?
Yaani Kendry Paez anatakiwa aje timu imekomaa na Poche kaondokaNimeqmini jamaa hafatiliii mchezaj yupo u21,u20 wengine wametolewa kwa mkopo na wanafanya vizuri ila yeye anakwambia wako hovyo
Mchezaj km Kendry Paez anamiaka 16 ila ashaitwa team ya taifa na sasa kaitwa tena halaf huku kuna mtu kashiba zake maharage anakwambia ni mchezaj wa hovyo.
FYI, Paez atajiunga na chelsea mwakan akitimiza miaka 18
Kingine ulizia best player u18. South America utakutana na jina lake pale kweny top 5
Ni kuhusiana na mambo ya FFP auChelsea wako karibu kupewa adhabu ‘kali’ ya Ligi Kuu ya England.
Tukipokonywa point 15 tunakuwa wapi kwenye table wandugu
Sasa tuna 39
Tukitoa 15 baki 24
Kwa zile sajili za ovyo ovyo adhabu haikwepekiChelsea wako karibu kupewa adhabu ‘kali’ ya Ligi Kuu ya England.
Tukipokonywa point 15 tunakuwa wapi kwenye table wandugu
Sasa tuna 39
Tukitoa 15 baki 24
Huyu jamaani shabiki wa Villa vile vile ni tier 1 Kwenye habar zetu za usajil.Matt Law yuko kwenye utume wa kipekee kusababisha mgawanyiko na utengano kwa mashabiki ambao tayari wamegawanyika.
Tusimruhusu.
Je hujagundua kuwa hakuna story yake hata moja juu yetu ambayo ni chanya na huwekwa kimkakati kila wakati. Wachezaji wanahitaji sapoti yetu kwa uhakika kwa sababu tuna mambo ya kucheza kwa msimu huu.
juan david ni mshabiki sana wa Mat Law, uwe makini naye
View: https://twitter.com/ElliotGCFC/status/1770805411106484288
Mkuu usiamini hbr za talksportChelsea wako karibu kupewa adhabu ‘kali’ ya Ligi Kuu ya England.
Tukipokonywa point 15 tunakuwa wapi kwenye table wandugu
Sasa tuna 39
Tukitoa 15 baki 24
Clowns on the wheel , hii timu ni aibu kabisaMashabiki sumu THE BLUES wameandaa huu ujinga [emoji116]View attachment 2941880
Ila tutie maji kweli kweli kwa sababu wengine wananyolewaMkuu usiamini hbr za talksport
Kitu gani?Nasikia kuna aliyekuwa mchezaji wa Chelsea amepigwa na kitu kizito.
Umetumwa au kula daku ulaleCheltako mmejificha kwenye kichaka Cha international break