Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumchezesha Badishile kwenye CB ni uamuzi wa kijinga. Ametutosa mechi nyingi sana tangu arudi kutoka majeruhi na kocha bado hashtuki. Silva yuko, academy wapo kwa nini asitolewe?
 
Hawa Man Utd game ya Brentford walipelekewa moto mwanzo mwisho kufika tu kwenye box ya Brentford ilikuwa shughuli

Ila sisi sasa
 
Kocha wa Chelsea yako sio kocha wangu
Si mnamtetea kwa nguvu zote, ona Badiashile katutosa mechi nyingi anaendelea kumpanga tu na atacheza hadi dk 90 zipite alivyo hana akili. Chalobah, Silva na Gilchrist wapo ila wewe subiri uone hadi atutose la tatu na la nne hatashutuka huyo tapeli wa soka
 
Mkuu kwani Badiashile ni mchezaji wa timu gani?

Siku zote huwa nawaambia matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake nyie huwa mbasema namtetea.
 
Goal la 2 la man utd ndani ya box kulikuwa na 6 chelsea Player na wawili wa Man utd 😂😂

Huwa nasema hii mazoezini huwa tunafanya nini yani magoal tunayofungwa huwa ni yale yale
 
Mkuu kwani Badiashile ni mchezaji wa timu gani?

Siku zote huwa nawaambia matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake nyie huwa mbasema namtetea.
Kuna shida zingine ila swala la uchezaji,kujilinda etc hapo ni kocha
Matatizo ya uwanjani 70% ni Poch hiyo 30% ndio wachezaji sasa
 
Fukuzeni huyo muhuni Pochettino hajawahi kuwa kocha huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…