Jambo la pili na la tatu?? π π π πKama tunataka kuwa challenge Man City msimu ujao jambo la kwanza hatuna budi kumfuata kazi Poch. Hamna kocha mule
EstevΓ£o atasaini na Chelsea wiki hii. Bei itakuwa kubwa kuliko ilivyotarajiwa: Palmeiras itapokea β¬45M fixed pamoja na β¬20M nyingine katika addons. Jumla ya kifurushi kizima bado kitakuwa β¬65M.
View attachment 2995098
Huyu wanasema ataingia moja kwa moja kwenye first teamAlafu atapelekwa kwa mkopo
Kama poch akitaka control ya transfer sidhan kama atapata hiloBREAKING: Iwapo Pochettino ataondoka, Chelsea itatafuta kocha kijana.
@FabrizioRomano
Kipaumbele ya uongozi ni kuendelea kufanya kazi na Pochettino lakini kama hakutakuwepo makubaliano, Pochettino ataondoka Chelsea na Uongozi utajikita kutafuta kocha kijana
Na mimi nadhani terms ambazo hawatakubalina mojawapo kubwa ni hiyo control ya signingsKama poch akitaka control ya transfer sidhan kama atapata hilo
Nq hapo ndio utakuwa mwisho wake.
Na pia kwa press conference za Poche kushambulia wamiliki nadhani kutakuwa na mvutano mkubwa, ile dinner na Boehly sijui kama iliongeza, ilpunguza au haikugusa kabisa kwenye hiyo tensionKama poch akitaka control ya transfer sidhan kama atapata hilo
Nq hapo ndio utakuwa mwisho wake.
Huyo kocha kijana asiwe Kieran McKena wa Ipswich hii version ya 2.0 Potter
Labda wawe hawa
Sebastian Hoeness
Rdz
Thiago Motta
Ruben Amorin
Jambo la pili na la tatu?? π π π π
Ni heri kubaki na Poch kuliko kumleta Keran McKena.
Utakuwa ni upumbav wa hali ya juu
Hutakiwi kumskiliza Kocha kwenye usajili ni kosa kubwa sana hilo.Na mimi nadhani terms ambazo hawatakubalina mojawapo kubwa ni hiyo control ya signings