juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Bayern nao wameenda Kwa Kompany mjue sahiv soka lishsbadilika watu hawataki tu majina ya kocha bali waangalia unanini je kweny sehem ambazo kuna resource nyingi kuna chance unaweza ukafanikiwa.Pia ukifatilia mijadara utaelewa kuwa mimi nasapoti yeyote atakayechaguliwa ambacho nasisitiza ni kuwa inexperience isn't healthy for bigger clubs as ours
Poch sikumkubali kabla hajachaguliwa ila baada ya kuteuliwa nilikubaliana naye. Na amejitahidi kaacha timu inaeleweka ni swala la kumanage injury situations na kununua wachazaji ktk nafasi kadhaa. Tuchel alituachia akina Koulibaly, Aubameyang na Sterling. Na hawajasaidia timuHata angewekwa jiwe, alimradi Mashavu anaondoka, it is OK π π π π π π π
Poche kawa mkrofi kuanzia kwenye kupanga timu hadi kwenye mahusiano na uongoziPoch sikumkubali kabla hajachaguliwa ila baada ya kuteuliwa nilikubaliana naye. Na amejitahidi kaacha timu inaeleweka ni swala la kumanage injury situations na kununua wachazaji ktk nafasi kadhaa. Tuchel alituachia akina Koulibaly, Aubameyang na Sterling. Na hawajasaidia timu
Willy Caballero kipa mzuri anayesifika kudaka penaltyChelsea wanatarajia kumteua Maresca ndani ya saa 72 zijazo. Maresca anataka kuleta wafanyakazi 5 pamoja naye. Willy Caballero anatarajiwa kuwa mmoja.
View attachment 3001175
Tumshukuru mungu tumempata mitaliano tena hao atakua ndo mtailiano watano hao waitaliano hawajawahi kutuangusha lazima abebe kombe tena bado mdogo miaka 44 atakua flexible kulingana na aina ya wachezaji, kapewa mkataba wa miaka miwili na watatu akiperform vuzuri........hayo uote nime yatoa kwenye mtandao wa sports uingereza.Chelsea wanatarajia kumteua Maresca ndani ya saa 72 zijazo. Maresca anataka kuleta wafanyakazi 5 pamoja naye. Willy Caballero anatarajiwa kuwa mmoja.
View attachment 3001175
Makocha wa kiitaliano huwa ni wazuri hasa kwetu. Tukianza na Don Carlo Ancelloti, Vialli, Conte, Di Matteo.Tumshukuru mungu tumempata mitaliano tena hao atakua ndo mtailiano watano hao waitaliano hawajawahi kutuangusha lazima abebe kombe tena bado mdogo miaka 44 atakua flexible kulingana na aina ya wachezaji, kapewa mkataba wa miaka miwili na watatu akiperform vuzuri........hayo uote nime yatoa kwenye mtandao wa sports uingereza.
Kocha lazima awe na mamlaka ya kununua wachezaji anaowataka ili akifeli umlaumu yeye. Sasa wamiliki wanamnunulia wachezaji mizigo halafu wanataka matokeo mazuri wewe unaona hiyo inaingia akilini? Huoni kuwa wanamtega mocha? Acha hizo mkuu.Poche kawa mkrofi kuanzia kwenye kupanga timu hadi kwenye mahusiano na uongozi
Kilichomuondoa Poche 80% alikuwa akiwapiga vijembe owners na uongozi wake
Wee fikria wewe ni mchungaji tu wa ng'ombe halafu unaanza kuwadhiaki wenye ng'mbe. eti unataka mamlaka ya kuuza na kununua ng'mbe. ebo!
Pamoja sarri na yule mzee wa kwanza kabisa kabla ya mourinho....wote wanaleta mafanikio kwetu.Makocha wa kiitaliano huwa ni wazuri hasa kwetu. Tukianza na Don Carlo Ancelloti, Vialli, Conte, Di Matteo.
Siku hizi hakuna club inayojielewa inayofanya hivyo makocha wanakuja na kuondoka. ila wachezaji wanabaki,Kocha lazima awe na mamlaka ya kununua wachezaji anaowataka ili akifeli umlaumu yeye. Sasa wamiliki wanamnunulia wachezaji mizigo halafu wanataka matokeo mazuri wewe unaona hiyo inaingia akilini? Huoni kuwa wanamtega mocha? Acha hizo mkuu.
The Tinkerman Mzee RanieriPamoja sarri na yule mzee wa kwanza kabisa kabla ya mourinho....wote wanaleta mafanikio kwetu.
Yeah Ranieri ndo alio tupa msingi kununua wachezaji wazuri morininho alio watumia wakina makelele na kupata makombe.The Tinkerman Mzee Ranieri
Hiyo ni one model, sio lazima kila timu ifuate huo mfumoKocha lazima awe na mamlaka ya kununua wachezaji anaowataka ili akifeli umlaumu yeye. Sasa wamiliki wanamnunulia wachezaji mizigo halafu wanataka matokeo mazuri wewe unaona hiyo inaingia akilini? Huoni kuwa wanamtega mocha? Acha hizo mkuu.
De Zebri amemzidi Mashavu vitu vingi sana.Inaonekana kwako De Zerbi ni bonge la kocha maana hamkuacha kumsifia humu kila wakati japo matajiri hata wao hawamkubali
Sasa kama Pochi anakosa uhuru wa kusajili analaumiwajei kuhusu poor performance ya team?Hiyo ni one model, sio lazima kila timu ifuate huo mfumo
Ndg sisi ni washabiki tu mbona unatulaumu kama ndio wamiliki wa team ππππππKaveh Solhekol reports that the leading candidates are Thomas Frank, Enzo Maresca, Kieran McKenna along with a 'high-profile mystery name'
Kwenye hawa candidates sidhani kama watawafaa. Kabla HansFlick haja saini kule barca mnaweza ku hijack ila mkishindwa kabisa Mourinho is Jobless ni bora kuliko hao makocha wa brentford, Leicester na Ipswitch ni makocha wa timu ndogo na walishafelikina Potter why hamjifunzi wakuu?