Akiwa na wachezaji gani?Huyu kocha anapenda mchezaji mwenye foot work nzuri, Petrovic ni goal stoper mzur ila kwnye foot work hayupo vizuri.
Halafu mbona kama kumbukumbu zangu zinaniambia chelsea ya Poch nene ilimtandika huyu huyu Maresca goli4.
Hongera kwa kujua mpira umekusaidia sana maishani,na chelsea forum kudharaulika imekupunguzia kipato pole sana .Haujui mpira. Hujaona mazoezi, haujaona hata mechi moja alafu unasema kocha hafai?
Nyie ndo mnafanya Chelsea forum idharaulike.
I stand with Chelsea, I stand with Maresca.
Na msimu huu nunueni jezi za kushangilia kombe
Kocha akija mgeni ni vyema apewe muda, japo kuna tofauti kubwa sana kati ya Pochettino na Maresca, huyu kaja na identity inaonekana kuanzia aina ya wachezaji anaowataka na aina ya mazoezi anbayowapa wachezaji. Nasikia mazoezi mengi ni ya kucheza na zile za kiufundi tofauti na yale mazoezi ya judo na stamina ya Pochettino iliyokuwa ikisababaisha sehemu kubwa ya majeruhiHaujui mpira. Hujaona mazoezi, haujaona hata mechi moja alafu unasema kocha hafai?
Nyie ndo mnafanya Chelsea forum idharaulike.
I stand with Chelsea, I stand with Maresca.
Na msimu huu nunueni jezi za kushangilia kombe
Chelsea wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua mlinda mlango wa Villarreal Filip Jorgensen. Vilabu vyote viwili vinajadili ada kati ya €20M na €25M.Kwa hiyo offer na kuzingatia ubora wa mchezaji na namna alivyomuhimu kwa club lazima itemwe kweupe ni bora hata wangeanza na €30m
Huko ndiko kutakapomfaa mpira vurugu.Atletico Madrid wamefanya mazungumzo na Chelsea kuhusu Conor Gallagher.
Nimeona wengi wanaukebehi huu usajili but nimegundua akili za mashabiki wa ulaya hawana utofauti na wa hapa wakwetu kwenye suala la mpira mtu hajawahi kumshudia hata game moja but anamponda kisa pesa anayosajiliwa ni ndogo na kuna wakati mwingine unashangaa anqmzungumzia as if anamjua vizuri anatoa boko nyingi na confidence kama yoteFilip Jorgensen alipata usahihi wa pasi fupi 99% msimu uliopita na kuokoa mara 143 (saves nyingi kuliko kipa mwingine yeyote kwenye La Liga). 👀
Usiruhusu vyombo vya habari vikukaze na kuamini kuwa yeye si mzuri
Chelsea wanatarajiwa kukubaliana Villareal ada ya takriban £20.9m kwa Filip Jorgensen, huku taarifa za mwisho zikiachwa kuafikiwa.Nimeona wengi wanaukebehi huu usajili but nimegundua akili za mashabiki wa ulaya hawana utofauti na wa hapa wakwetu kwenye suala la mpira mtu hajawahi kumshudia hata game moja but anamponda kisa pesa anayosajiliwa ni ndogo na kuna wakati mwingine unashangaa anqmzungumzia as if anamjua vizuri anatoa boko nyingi na confidence kama yote
Casadei nae hamtaki?Namba za jezi ambazo wachezaji wa Chelsea watakuwa wamevaa wakati wa Ziara yetu ya Marekani ya 2024 sasa zimethibitishwa:
1 – Robert Sanchez
2 - Axel Disasi
4 - Tosin Adarabioyo
5 – Benoit Badiashile
6 - Levi Colwill
7 - Raheem Sterling
10 - Mykhailo Mudryk
11 – Noni Madueke
13 - Marcus Bettinelli
15 - Nicolas Jackson
16 – Lesley Ugochukwu
17 – Carney Chukwuemeka
18 – Christopher Nkunku
19 – Armando Broja
21 - Ben Chilwell
22 - Ukumbi wa Kiernan Dewsbury
24 - Reece James
25 - Moises Caicedo
27 – Malo Gusto
29 - Wesley Fofana
32- Tyrique George
34 - Josh Acheampong
38 - Marc Guiu
39 - Andre Santos
40 - Renato Veiga
41 - Angelo
45 - Romeo Lavia
47 - Lucas Bergstrom
50 - Eddie Beach
Na cheki game yetu sas hiv du bado kuna kazi nying sana ya kufanya kwa mwalimu mpya MADUEKE anatakiwa afundishwe vitu vingi sana na tena upyaCasadei nae hamtaki?
Naamini tutakaa sawa mbele ya safariNa cheki game yetu sas hiv du bado kuna kazi nying sana ya kufanya kwa mwalimu mpya MADUEKE anatakiwa afundishwe vitu vingi sana na tena upya
Jems nae hayuko sawa anapoteza mipira hovyo tu
Kweli hamna timu kwanza kabisa mwalimu kma ndio anafundisha hiv mtu wa hovyo mpira wake anacheza taratibu sana na halafu BADIASHILE na Disasi wanabaki halafu chaloba unamkataaaa kabisa wazi wazi kuna kitu kinatia shaka beki zote nzito kama nni yaaani hovyo kabisaHamna timu hapa
James kachezeshwa position sio yake ukitaka kumfaidi anatakiwa acheze right back au right wing backNa cheki game yetu sas hiv du bado kuna kazi nying sana ya kufanya kwa mwalimu mpya MADUEKE anatakiwa afundishwe vitu vingi sana na tena upya
Jems nae hayuko sawa anapoteza mipira hovyo tu