John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Acha habari za kufikirikaKama sijakosea uongozi wa kina kichwa hewa Todd ulikumkuta Tuchel ndo ametoka kuwapa UEFA, wakamla kichwa,,,,
Since then akaja Potter G,
Super Frankie,
Pochettino
Maresca
Mmegundua nini wanetu ? Hii ni siri yenu ! Amkeni
Kiukweli kabisa Flamengo hawajatufunga kwakua ni bora kuliko sisi, wametufunga kwakua sisi tulionesha udhaifu sana kwenye mcgezo mzima kuanzia nyuma mpaka mbeleTuseme ukweli, Fillipe Luiz kwenye ukocha ni mzuri, Flamengo kwenye mechi 9 hajapoteza mechi hata moja ila bado Chelse tungekuwa na serious coach kama Enrique ile mechi tungeshinda
Nakuunga mkono ni Kama ile game ya Real Betis kipindi cha Kwanza walikuwa Bora mpaka ikaonekani ni prime Madrid dhidi ya wigani ila ya kocha wetu kusawazisha makosa yake the end Nini kilitokeaKiukweli kabisa Flamengo hawajatufunga kwakua ni bora kuliko sisi, wametufunga kwakua sisi tulionesha udhaifu sana kwenye mcgezo mzima kuanzia nyuma mpaka mbele
THE BLUES YA ROMANchelsea ikiwa chini ya huyu bwege Todd na kocha wake siwezi kujisumbua kwa lolote. TUPIGWEEE TYUUU. chelsea ya Roman Abromavich sio hii hata kidogo
Kuanzia upangaji wa timu pia ulikosewa na nimelisemea hili sana. Huwezi kumuweka James kuwa CM wakati majaribio yote ya nyuma ilishindwa kuleta matokeo mazuri. James yeye ni RB bora akicheza kwenye nafasi yake. Unamuweka kiungo wakati kiungo inao wachezaji bora kabisa kwenye benchi na hawako majeruhi. Unamuweka Gusto ambaye ameshadhihirika kuwa ni flop kwenye mfumo wa MarescaKiukweli kabisa Flamengo hawajatufunga kwakua ni bora kuliko sisi, wametufunga kwakua sisi tulionesha udhaifu sana kwenye mcgezo mzima kuanzia nyuma mpaka mbele
😂Kubarini kimove on ...huu umiliki mpya hamna namna yaani mnavyolalamika utafikiri kina morata, shevnchenko, Torres, mwamba bakayoko , Drinkwater kina falcao n higuain n.k hawakuletwa kipindi Cha roman..Hawa jamaa mbona idea yao ni nzuri wanaletwa vijana wengi potential wanapelekwa kwa mkopo Strasbourg kwa mkopo wakifanya vizuri na kuwa ready kwa epl wanaletwa the blues au wanauzwa kwa faida mbona project nzuri tu...au mnapenda yajitokee kama ya Salah, kdbTHE BLUES YA ROMAN
1. Usajili wa Matured/World class players ambao wanasaka mafanikio
2. Usajili wa world class coaches
3. Chelsea ya lengo moja tuu kubeba makombe kila msimu
4. Faida kwa tajiri ilikuwa makombe na sio pesa.
5. Management bora kwenye mipango na kufanya maamuzi.
THE BLUES YA TODDY
1. Usajili wa vijana wadogo, wanaohitaji kufungwa pampas, kulelewa, kukuzwa kipaji na uzoefu
2. Usajili wa makocha ambao wanachipukia, rahisi kwa tajiri kuwacontroll kwenye maamuzi.
3. Ni Chelsea ya project phase 1, 2, 3, 5, 6, 7, 8, 9...... 100. kununua wachezaji wadogo, kuwakuza, matured, kubeba makombe.
4. Faida ya tajiri ni pesa kununua wachezaji wadogo kuwakuza kisha kuwauza kwa faida kubwa.
5. Management bomu, inakosea kufanya maamuzi kwenye kila idara. Usajili wa wachezaji mazagazaga, makocha vilaza.
Hata hao wachezaji wakija huku wanakuwa mizgo wakati walipotolewa eiza kwa mkopo walifanya vzri ila wakija huku wanafanya vibaya huoni tatzo hapo mwalimu je kupanga nje na nafasi zao za asili je huoni hilo mkuuu😂Kubarini kimove on ...huu umiliki mpya hamna namna yaani mnavyolalamika utafikiri kina morata, shevnchenko, Torres, mwamba bakayoko , Drinkwater kina falcao n higuain n.k hawakuletwa kipindi Cha roman..Hawa jamaa mbona idea yao ni nzuri wanaletwa vijana wengi potential wanapelekwa kwa mkopo Strasbourg kwa mkopo wakifanya vizuri na kuwa ready kwa epl wanaletwa the blues au wanauzwa kwa faida mbona project nzuri tu...au mnapenda yajitokee kama ya Salah, kdb
Weakness ya maresca ndo hyo ana ubishi na kitu anachokiamini ....hiki kitu walisema pia mashabiki wa Leicester wakati anaondoka kwao ....Hilo swala la wachezaji mizigo unatuongopea ...Msimu huu wameletwa Andrey Santos Moja ya midfielder Bora Msimu uliopita Toka Ligue 1 na kaletwa mkata umeme essugo asaidiane na caicedo....hapo ishu n kwa kocha kuwachezesha wachezaji out of position ilihali una kina Santos benchi...yaan mnavyolalamika kama vile Chelsea kipindi Cha roman ilikuwa invincible inashinda mechi zote za ligi wakati tulikuwa tunafungwa mpk goli 4 na kina Watford na Bournemouth hazard ndani!Hata hao wachezaji wakija huku wanakuwa mizgo wakati walipotolewa eiza kwa mkopo walifanya vzri ila wakija huku wanafanya vibaya huoni tatzo hapo mwalimu je kupanga nje na nafasi zao za asili je huoni hilo mkuuu
Mfano mzuri pale Barcelona Xavi aliwaaminisha hana timu kabisa ila amekuja Flick vitoto vya under 20 vimetoa upinzani kama senior playerKwa hawa wachezaji waliopo tungepata kocha mwenye uwezo, alikua anahitaji msimu mmoja tu kusuka timu tuanze kushinda mataji, lakini kwa uyu kenge maresca siioni Chelsea ikishinda kombe lolote kubwa hata ndani ya misimu minne ijayo!
Hii ni mifano hai kabisaMfano mzuri pale Barcelona Xavi aliwaaminisha hana timu kabisa ila amekuja Flick vitoto vya under 20 vimetoa upinzani kama senior player
Sasa huku shida project nzuri ila inasimamiwa na kocha ambaye bado anajitafuta kwenye career yake Hatuna kikosi kibaya kiasi cha kuwa timu average kiasi hiki
Mkuu, ni nusu fainali au robo?⚽️💥 Tosin na bao zuri la kichwa!
🧊🥶 Delap alifunga bao lake la kwanza Chelsea kwa urahisi sana; Mabeki wa E. Tunis bado wanakinga!
🎯🎁 Enzo alitoa pasi 2 za hariri—yeye kimsingi ni Santa mwenye mpira wa miguu.
🏆🟦 Chelsea tayari wamefika nusu fainali ya FIFA CWC-London inatabasamu!
Karibuni Arsenal
View attachment 3382062