Jackson ana presure kubwa sasa hivi na sijui kama ataweza kucheza tena vizuri. Ile miss inaonyesha wazi ni flustration kichwani. Uwepo wa Joao Pedro na Liam Delap haitampa confidence hata kidogoHivi tuliwezaje kumaliza top 4 na straika kama Jackson, matumizi ya akili ni sifuri
Bahati mbaya kwa mwendo huo huo wa pressure ndio atapoteza vyoteJackson ana presure kubwa sasa hivi na sijui kama ataweza kucheza tena vizuri. Ile miss inaonyesha wazi ni flustration kichwani. Uwepo wa Joao Pedro na Liam Delap haitampa confidence hata kidogo
Bado tu Msimamizi wa mazoezi ya Chelsea FC Maresca hajafukuzwa?Mnamo 2012 tuliiondoa Benfica na tukashinda UCL.
Mnamo 2013 tuliiondoa tena Benfica na tukashinda UEL
Mnamo 2021 tuliiondoa Porto ya Ureno na tukashinda UCL
Tumetoka kuiondoa Benfica katika Kombe la Dunia la Klabu ebu fikiria nini kitatokea 😀 😀
Hii tayari tunalimilikiNdugu matajiri wa London, tulieni hili kombe TUNABRBA! Ni letu.
The bluesNdugu matajiri wa London, tulieni hili kombe TUNABRBA! Ni letu.
Watupe tu kombe letu wasitucheleweshe, tunawahi!Hii tayari tunalimiliki
Amekuibia dem wako?Bado tu Msimamizi wa mazoezi ya Chelsea FC Maresca hajafukuzwa?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Maresca bado hana viwango vya ukubwa kiuwezo kama Carlo Ancelotti, Luis Enrique na Pep Guardiola na club pressure ni nzito sana kwake.Amekuibia dem wako?
Lakini hapa amepata matokeo mazuri hadi sasaMaresca bado hana viwango vya ukubwa kiuwezo kama Carlo Ancelotti Luis Enrique na Pep Guardiola na club pressure ni nzito sana kwake.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.