Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Kabisa Semaji kuu la Chelsea FC toka Chalinze.Mda wote anafikiria namna ya kuiponda tu timu yake, Mimi naamini hata ikitokea tumefungwa hiyo j pili, timu kiujumla wamejitahidi sana mpaka kufika hapo
Hahahah haya bhn, mimi hata sijulikani huko Chelsea mkuu sema ni ukiherehere wangu tuKabisa Semaji kuu la Chelsea FC toka Chalinze.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Gesi imepanda unaanza kutoa mipasho.. 😂Who cares? Mfano we mnyalukole kuishabikia Chelsea FC si kiherehere chako binafsi? Chelsea FC inakujua au usipoishabikia inapungukiwa nini zaidi?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Naona Pale pia hao jamaa viungo wao ukiwazuia ili kina Dembele wasipate mpiraSikuona mchezo wowote mzuri wa PSG jana, wanaonekana wazuri kwa sababu wale wapuuzi wa Real Madrid hawakucheza kama vile walikuwa kwenye mgomo.
Nilitazama hadi dakika ya 70 nikaenda kulala, kwani mchezo ulikuwa wa kuchosha kutokana na Real Madrid kutokuwa na ari ya kushindana.
PSG walitumia vyema mapengo, mapenyo na makosa ya Real Madrid,
Walicheza mpira na mabeki, wakivunja safu za ulinzi, na kufunga mabao rahisi.
Ilikuwa kama marudio ya kichapo cha kihistoria cha Ujerumani dhidi ya Brazil kwenye Kombe la Dunia mwaka 2014.
Kama Liam Delap, Joao Pedro na Pedro Neto wakicheza kule mbele wakawapress hao mabeki wa PSG ili wasipasiane wenyewe kwa wenmyewe tita wa botafogo nakuambia
Tusubiri jumapili tuone na tumuombee Maresca aone kama nilivyoona mimi na kuiandaa timu kwa kuwapress hao mabeki
Hahahah haya bhn, mimi hata sijulikani huko Chelsea mkuu sema ni ukiherehere wangu tu
Mipasho ni kauli za kikike kike, nina wasiwasi na jinsi yako...watch out!Gesi imepanda unaanza kutoa mipasho.. 😂
Inabidi tuwe na wasiwasi na wewe maana Maandishi yako yanaonyesha michambo na mipashoMipasho ni kauli za kikike kike, nina wasiwasi na jinsi yako...watch out!
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Pole sana, hata hivyo usiwaze sana maana ndiyo maisha uliyojichagulia.Inabidi tuwe na wasiwasi na wewe maana Maandishi yako yanaonyesha michambo na mipasho
Lavia sijawahi kumuelewa, huwa namuona ana uzito flani hivi.Good news: Moises Caicedo yuko kwenye mazoezi na wenzake
Bad news: Hakuna hata dalili ya Romeo Lavia kufanya mazoezi na wenzake
Sisi ndio wababe wa kubeba vikombe the blueeeeesssssssssssss,sisi si arsenyani na hatuna historia ya kukosa kombe kizembe zembe fainali hata tuwe wabovu kiasi gani , huyu PSG tunamtia vidole asubuhi na mapema ,Kenge kabisa, final mnapigwa kama mwizi
Model nzuri yaani full recycling system , talent inakuwa scouted ,recruited na kukuzwa kupitia Brighton , then inapelekwa Straousburg kwa mkopo kukua zaidi then inaingia Chelsea kutumika then ikizeeeka au ikiwa useless takataka tuna offload kwa Arsenyetoz ikajifie huko ,bonge la idea aisee .Aliyewaza hivi ni genius .
Unatype huku umevaa khanga aisee ...mipasho tu😂Pole sana, hata hivyo usiwaze sana maana ndiyo maisha uliyojichagulia.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Santos yupo fit msijali sanaGood news: Moises Caicedo yuko kwenye mazoezi na wenzake
Bad news: Hakuna hata dalili ya Romeo Lavia kufanya mazoezi na wenzake
Kweli kabisa Mama watoto ukiwa kwenye bikini nyekundu unavutia sanaaa...😅Unatype huku umevaa khanga aisee ...mipasho tu😂
Huyu mke wa mzee yusuph na mpira wapi na wapi😂Kweli kabisa Mama watoto ukiwa kwenye bikini nyekundu unavutia sanaaa...😅
Ubinadamu ni kazi/The humanit
Kila lenye mwanga kwakeMadueke japo sio kwa umuhimu kikosoni, ameondoka bwana. Hope akifika arsenal atavua kitambaa cheusi kichwani ili aone njia.