Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jackson anajiamini juu ya uwezo wake kwamba hawezi kuwa striker wapili. Sasa kwa nini asiuoneshe huo uwezo wake kwa muda anaopewa. Italy kunaweza mfaa ila bado anahitaji kuweka sawa mentality yake anaweza akahisi akienda huko atapata ahueni ila ndio akaishia kupotea kabisa.
 
Walete hela turekebishe vitabu mambo yaendelee.
 

Attachments

  • Screenshot_20250711_103409_Instagram.jpg
    531.7 KB · Views: 26
Sasa hivi Chelsea imefocus nakuuza wachezaji Kwanza
 
Ila we jamaa umenichekesha sana
 
Kweli nimeamini wamerekani wanafanya biashara.
At least biashara zao za akili madueke nadhani alinunuliwa Toka psv kwa pauni chini ya 30mil ila sahv anauzwa arsenal kwa pauni mil 50 na nyongeza😂.....hata huyu Jackson km akiuzwa basi kwa gharama juu ya bei aliyonunuliwa....sio unatoa mamilioni ya pesa mingi afu mtu anashindwa kudeliver mnaishia kumuuza kwa hasara
 
Hakuna wadhamini pale Chelsea FC tujiandae tu kisaikolojia kwa msoto wa mbele kwa mbele kwa ubahili ndicho wanachopitiq Liverkuku, Aser8 na Mwantesa Utd.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ila mwamba umezidisha kulalamika aisee hivi uoni hata utofauti kuanzia kipindi team ipo chini ya Lampard, Graham Potter na pochentino na kipindi hichi ipo chini ya Enzo Maresca au umesahau msoto tulikuwa tunapitia ilikuwa hatuingii big 4, team ilikuwa haieleweki inavyocheza.Huyo kocha wetu wa Sasa huu ni msimu wake wa Kwanza team imeingia big 4, tumechukua conference cup na now tumeingia fainal wewe uoni ni kwamba tumepiga hatua kubwa?
 
Hajaona hata Man City chini ya Pep imeangukia pua kwa hiyo Pep nae ni kocha mchanga na hajui kwa tafsiri yake
 
Msamiati wa leo
Cheltako
-Jina lilotokana na wachezaji kuwa na big tako, i.e Hazard, kuna vamovich sijui etc
 
Hakuna wadhamini pale Chelsea FC tujiandae tu kisaikolojia kwa msoto wa mbele kwa mbele kwa ubahili ndicho wanachopitiq Liverkuku, Aser8 na Mwantesa Utd.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sijui unawza kutumia nini unadhani timu kama chelsea ni sawa za bongo wadhamini wapo kibao sio lazima huyo mkuu maboss wameweka pesa na timu inasonga au unaona hiyo ni mtibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…