Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

🚨🚨🚨BREAKING: Mazoezi ya PSG yalikatizwa kwa muda mfupi leo baada ya mabishano makali kati ya Dembélé na Désiré Doué kuhusu nani afunge bao la ,6 dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili
Hahahahahahahahaaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 
Viungo wamejaa sanaaaa, wengine hawatumiki wamekuwa kama mapambo tu, wengine wanatolewa kwa mikopo. Kocha ni la hovyo kupindukia
Na pia mbadala wa Caicedo. Hawa jamaa wanatumika sana; wanahitaji kupumzika.
 
Huyu Dembele alizimwa vizuri na cucurella mechi za UEFA nations league Spain na ufaransa....lkn mnavyomtaja km vile atakutana na Jamal mambeleko
 
Siku 353 zilizopita Chelsea walichukuana na Wrexham katika mchezo wa kwanza wa Maresca, ambao uliishia 2-2.

Siku 328 zilizopita Chelsea ilifungwa 2-0 nyumbani na Man City kwenye mechi ya ligi.

Siku 324 zilizopita Chelsea ilizomewa nyumbani HT katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Servette katika mechi za kufuzu kwa UECL.

Siku 45 zilizopita Chelsea ilipata UCL na kushinda UECL huko Wroclaw.

Baada ya siku 354 msimu wetu unamalizika leo. Inaweza kuisha kwa sisi kuwa Mabingwa wa Dunia au inaweza kumalizika kwa kama ishara ya maendeleo makubwa kwa Maresca kuiwezesha timu kufikia fainali za kombe la dunia kwa kucheza na mabingwa wa Ulaya, PSG.

Hakuna hata mtu mmoja aliyetabiri haya miezi 12 iliyopita kwamba tungekutana na Mabingwa wa UEFA Tujivunie haya mafanikio ya Chelsea.

 
Kwa mbaali,leo
 

Attachments

  • Screenshot_20250713_101538_Facebook.jpg
    105.4 KB · Views: 28
BREAKING: Mazoezi ya Chelsea yalikatishwa jana kwa muda baada ya mabishano makali kati ya Cole Palmer na Joao Pedro kuhusu nani afunge bao la 7 dhidi ya PSG Jumapili.
 
Leo ni Fainali ya FIFA Kombe la Dunia kwa vilabu ni kati ya Chelsea na Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…