Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Bro amechagua kilicho chema πShem mimi ni The Blues miaka mingi sana. Sema tu niliacha kuingia huu uzi miaka hii. Ila mimi na Chelsea ni pete na kidole.
Hakuna Dembele wala nani leo Chelsea Tunabeba ubingwaNgoja DEMBELE AINGIE
FT
CHELSEA 2 PSG 3
Ule ugomvi wa jana kumbe ni kweliBREAKING: Mazoezi ya Chelsea yalikatishwa jana kwa muda baada ya mabishano makali kati ya Cole Palmer na Joao Pedro kuhusu nani afunge bao la 7 dhidi ya PSG Jumapili.
Mimi ninawasikitia tu waliobeti tena pesa nyingiWachambuzi wa mpira wamewadanganya sana watu kuwa Chelsea tutafungwa vibaya sana π