Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ndio namna ya kumuingiza mtu kwenye mfumo wako kabla ya kumpiga. Ni sawa na kumfungia mtu ndani na kumeza ufunguo kabla ya kuanza kumuadhibu. Hiki ndicho walichokifanya Chelsea leo. Ni kama kirusi cha UKIMWI kinavyoingia kwenye seli kabla ya kuanza kuzaliana ma kuleta madhara mwilini. Chelsea, the pride of London.
 
Keep The Blue Flag Flying High
 
Na benderaaaa ipepeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…