Gusto akiwa Kama RB huwa ni mzuri shida ukimchezesha Kama inverted midfielderNimependa Gusto anavyocheza. Hizi running anazofanya kupanda na kushuka safi kabisa
Kashinda Golden Glove kichaa wetuKaunzia leo nafuta Kauli Sanchez sio pazia la Ngorika bus. Ni nashine ya kudaka sometimes huwa inahitaji service
Mimi nilsema sana jana kuwa Intermilan na Real Madrid hawakuwapress hawa jamaa. Ukiwapress hawana kitu. Ila tuwapongeze Viungo, mabeki na kipa wetu leo wamekuwa na nidhamu ya hali ya juuuku wanasingizia ety PSG walichoka san na mechi ya Madrid😀😀😀😀😀💙💙💙💙
Cole Palmer, ameshinda player of the tournamentLeo ni Siku ya Cole Palmer kwenye mechi kubwa; lazima iwekwe katika makumbusho.
Magoli 2
Assist 1
katika HT
Umesahau na yule anayesema tunawachezaji matakatakaWale wote wanaosema Maresca hana mbinu waje tubishane hapa
Madueke nae vipi pale arsenal 🤣Pedro ana wiki mbili tuu tayari ana kombe la dunia 🔥
Tulifanywa underdogs wa kweli againstNaiona nidhamu hapa
Lakini dunia nzima iliamini Chelsea anapigwa na PSG. Yan ilikua Chelsea against the whole World
Duh hapana bhana, medali atapelekewa nao arsenyeto wapate cha kuringia 😂Madueke kapishana na medali + Kombe
Amtume agent wake aje achukue medali akawaringishie, c unajua tena sisi Chelsea hatuna roho mbaya hara leo tumempa maji ya kunywa PSG ili asije kusema tumemnyima hadi maji 😂Madueke nae vipi pale arsenal 🤣
Mhindi hataki masihara aisee......😂na shule zinafunguliwa kapata ada ya watoto
Na amelipigania kweli kweli. Hili goli la fainali kafunga kiufundi kweli. Sijui angekuwa Nicolas Jackson ingekuwejePedro ana wiki mbili tuu tayari ana kombe la dunia 🔥
Huyo naye bangi anazovuta huenda zikawa takataka😂Umesahau na yule anayesema tunawachezaji matakataka
Kafanya kazi kubwa sana.... Clean sheet ya maanaKashinda Golden Glove kichaa wetu
View attachment 3405123