Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yule mzee wa chelsea ina wachezaji matakataka pamoja na kocha takataka naona japo timu yake imeshinda lkn hana furaha kabisa maana makocha annaowaamini wanamuangusha
Wanasema tulienda kwa boflo maresca na kuacha makocha kama Enrique ambao hawakutaka project uchwara ya wamarekani...Jana boflo kamuoutshine kabisa Enrique cjui wapo na Hali Gani huko😂
 
Wanasema tulienda kwa boflo maresca na kuacha makocha kama Enrique ambao hawakutaka project uchwara ya wamarekani...Jana boflo kamuoutshine kabisa Enrique cjui wapo na Hali Gani huko😂
Hali yao ni mbaya we si unaona mtu shabiki kabisa wa Chelsea imebeba kombe lakini haonikani jukwaani, kuna faida ya kuweka akiba ya maneno
 
Mashabiki wa timu fulani watasema jana PSG walikuwa na game mbaya.
Ngoja nikudokeze
Maresca aliwapanga vijana wake hivi
Vitinha na Ruiz watawakaba Caicedo na James na Neves atamkaba Enzo halafu Neto na Palmer wataachiwa space ukichanganya na maagizo ya Gusto kupanda juu kila mara. Kwa hiyo PSG walipopoteza mpira tu huo ulikimbizwa kwa Palmer au Neto au Gusto na mambo mengine yakabaki historia
 
Acha yooote...wamepiga zaidi ya bilioni 300 na ushee pesa za madafu za kwetu kama zawadi
 
Tangu muda huo hadi sasa
Chelsea finished top 4, Man United 16
Chelsea, winner of the Conference League, Man United nil
Chelsea, winner of the FIFA CWC, Man United nil
Msimu ujao mtapigania kutoshuka daraja kwenye namba 17 Nyumbu nyie


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…