Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Si kila Kocha ni wa kumuelewa na mashabiki hatufanani namna ya kukabiliana na vichapo kama Arse8.Hata mpaka sasa Akipatikana upgrade ya Maresca tutaacha kumuunga mkono Maresca na tutahamia kwa huyo kocha mpya ndio mpango mzima wa kushabikia mpira sio wewe unakuwa negative hadi kwenye nchi ya ahadi π
HauzwiView attachment 3407768
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ...psg offer.
mechi 16 tumeshinda 14, vichapo vinatoka wapi hapo?Si kila Kocha ni wa kumuelewa na mashabiki hatufanani namna ya kukabiliana na vichapo kama Arse8.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
walete 500mHauzwi
Laigwanani Lembu 500M ni pesa ya kununua club aisee. Watupe hiyo 250M tusajili mashine 3.
Milioni 500 itapendeza zaidiπππLaigwanani Lembu 500M ni pesa ya kununua club aisee. Watupe hiyo 250M tusajili mashine 3.
Chalobah ni mzuri wa kupiga pass tangu mwanzo ni vile hujawahi kumzingatiaIla Challbah nilikua simuelewagi kabisa, ila now naona anajitahidi sana kwnye kupga pasi za maana, ni zile nywele tu sasa azinyoe. Nywele zina rangi ya moto!! Kha.
Enzi za Harry Potter na Frank Lampard hata muda wa kuiwazia Chelsea FC ulishuka hadi 0.01% kwa vichapo.mechi 16 tumeshinda 14, vichapo vinatoka wapi hapo?
ππ₯πππππ‘π: Real Madrid wamewasilisha ofa ya pauni milioni 250 kwa Chelsea kwa ajili ya kumnunua Cole Palmer. Ikiwa ofa hiyo itakataliwa, inasemekana klabu hiyo inapanga kumsajili kwa uhamisho wa bure msimu wa joto wa 2033. πππππ
BREAKING: Real Madrid have submitted a Β£250 million offer to Chelsea for Cole Palmer. If the offer is rejected, the club is reportedly planning to sign him on a free transfer in the summer of 2033. π π³
Nyuma niliwaambia huyu kocha mgeni machanga na atakomalia hapa hapa Chelsea kama PEP alivyokomalia Barcelona 2008 kwenda mbele
Tafadhali fahamu kwamba kila mtu kwenye klabu analenga katika kufikia hilo."Kushinda au kugombea mara kwa mara mataji ya Ligi Kuu na Ligi Kuu ya Wanawake
Kucheza mara kwa mara katika Ligi ya Mabingwa na kuwania vikombe vya ndani [na kimataifa]
Kushindania mataji kila mara katika vikundi vya umri wa vijana
Kukuza na kugundua vipaji vya vizazi vijavyo vya soka kwa manufaa ya klabu
Kuwa watendaji na wachangiaji wanaowajibika kwa jumuiya yetu, huku tutimiza masharti yote ya Financial Fair Play na mahitaji mengine ya udhibiti
Kupata imani na imani ya wafuasi wetu
Angalia usije ukageuka wewe kuwa takatakaπEnzo Maresca bado ni takataka tu, kuchukua hilo kombe hakuondoi utakataka wake.
Sasa wewe hata ujumbe wa emoji husomi!Hakuna kitu kama hicho, hizo ni porojo tu za baadhi ya watu kutengeneza habari za uongo. Hakuna sehemu Madrid wamepeleka hiyo ofa, na ata kama wakipeleka hiyo ofa haiwezi kataliwa.
Hizo taarifa no za uzushi tu, hazina ukweli wowote ule.
Na Sanchez tangu anyoe upara vipi hali yake πIla Challbah nilikua simuelewagi kabisa, ila now naona anajitahidi sana kwnye kupga pasi za maana, ni zile nywele tu sasa azinyoe. Nywele zina rangi ya moto!! Kha.
Yes tununue Brighton kwa sababu tuko hapa tulipo kwa ajili yao πLaigwanani Lembu 500M ni pesa ya kununua club aisee. Watupe hiyo 250M tusajili mashine 3.
Mkuu vipi kuhusu usajili wa Kendry Paez?Yes tununue Brighton kwa sababu tuko hapa tulipo kwa ajili yao π