Kama ni hivyo sijui itakuaje ila namuona Morgan anaweza aisipate number ingawa nimchezaji mzuri kwasababu nafasi yake anacheza Cole PalmerUEFA wameitahadharisha Chelsea na Aston Villa kuwa swap yeyote itakayoambatana na inflated price za wachezaji watapewa adhabu stahiki. Chelsea na Aston Villa wanaweza kufanya swap deal ya wachezaji nahisi ni Morgan Rodgers na Jackson au Nkunku
View attachment 3410894
Lavia na hall hawauzwi hiyo taarifa umeipatia wapiLavia
Hall
Watauzwa
Lavia hauzwiLavia
Hall
Watauzwa
Tayari hapo mshindi ameshajulikana🚨🇮🇹 Gianni Infantino: “Tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka huu itaathiriwa kwa kiasi kikubwa na kiwango kilichoonyeshwa kwenye Kombe la Dunia la Klabu. Mchango wa wachezaji kwenye mashindano hayo utakuwa na uzito mkubwa.”
Kocha msimu huu atawarotate sana kwa sababu mchezaji mzuri hawezi kuozea benchi. Ndio maan kwenye CWC alisema anajaribu mifumo mipya. Kwenye mechi tuliyofungwa na Flamengo alifanya hivyo. Palmer kacheza LW na RW. Pia wachezaji karibu wote isipokuwa Jackson wanaweza kucheza zaidi ya nafasi moja akiwemo Rodgers kama atakuja anaweza cheza No. 10/CAM/RW/LWKama ni hivyo sijui itakuaje ila namuona Morgan anaweza aisipate number ingawa nimchezaji mzuri kwasababu nafasi yake anacheza Cole Palmer
Kwenye Lw hapa atakuwa ana namba ya kudumuKocha msimu huu atawarotate sana kwa sababu mchezaji mzuri hawezi kuozea benchi. Ndio maan kwenye CWC alisema anajaribu mifumo mipya. Kwenye mechi tuliyofungwa na Flamengo alifanya hivyo. Palmer kacheza LW na RW. Pia wachezaji karibu wote isipokuwa Jackson wanaweza kucheza zaidi ya nafasi moja akiwemo Rodgers kama atakuja anaweza cheza No. 10/CAM/RW/LW
Msimu wake wa Kwanza tu huu wa Enzo Maresca tumeingia big 4 baada ya kustruggle kwa miaka miwili kwa makocha tofauti Lamps, potter na pochentino, kabeba conference cup na mwisho kashinda kombe la club bingwa kwa kutoa dozi Nene Real Betis kala 4 vizuri, PSG kala 3 takatifu hivi uoni Kama tumepiga hatua kubwa? Anakuaje ni takataka?
Alafu kuchukua hilo kombe kusiwadanganye kuwa Chelsea iko imara kuzi challenge Liverpool na Man City kwenye ligi. Chelsea bado sana inabidi tutoe matakataka kuanzia Kocha.
Binafsi huwa naamini THE BLUES ipo vizuri kwenye mashindano ya mtoano kuliko ya EPL mbio ndefu za kukusanya point.
Sitashangaa msimu ujao tukabeba UCL
Kabla ujaongea hivyo itathimini team kwa ujamla na jiulize Nini sababu ilitufanya tu struggle hapa katikati, ukishafanya hiyo tathimini ndio itakupa picha halisi ya mwelekeo wa team ngoja Sasa nikupe majibu. Moja Kati ya changamoto kubwa team ilikuwa nayo ni kuwa tunaruhusu magoal lakini pia mbele tupo butu, alivyokuja Maresca hapa mwanzoni na katikati bado tulikuwa tunashida za kuruhusu magoal ingawa tulikuwa tunacheza vizuri but karibia na hizi mechi za mwisho za epl tukaimarika kwenye defense sana na tulikuwa tunafunga lakini sio sana kwasababu tunapoteza chance nyingi za kufunga mbele.Binafsi huwa naamini THE BLUES ipo vizuri kwenye mashindano ya mtoano kuliko ya EPL mbio ndefu za kukusanya point.
Sitashangaa msimu ujao tukabeba UCL
Kumbe hadi Xavi Simons nae tunataka kumsajili? Timu itakuwa nzuri sana safu ya ushambuliajiKwa ajili ya kudumisha utulivu wa kiwango cha mchezo, nimegundua kuwa kushuka kwa ubora wa Cole Palmer kulitokana na mgogoro wa kimahusiano kati yake na mchumba wake, Connie Grace. Kwa sasa, kuna taarifa kuwa wamefanyiana block kwenye Instagram, jambo linaloashiria kuwepo kwa mvutano mkubwa. Mwezi Januari, niliandika kwa kubahatisha kwamba huenda Palmer hachezi vizuri kwa sababu ya matatizo ya kifamilia, na baadaye ikathibitika kuwa ni kweli.
Hali kama hiyo iliwahi kumkumba Enzo Fernández, ambaye kiwango chake kilishuka alipokuwa na mgogoro na mke wake. Walipopatana, aliweza kurejea katika ubora wake wa awali. Naam, naamini kwamba Palmer akiyarejesha mahusiano yake katika hali ya amani, utulivu wake wa kiakili utarudi na kiwango chake kitaimarika katika msimu mzima.
Mbali na hilo, usajili wa washambuliaji wawili wenye uwezo mkubwa kuliko Nicolas Jackson wa Liam Delap na Joao Pedro unatarajiwa kuondoa tatizo la ukosefu wa mabao lililoikumba timu msimu uliopita. Safu ya ulinzi pia imeimarika sana, hata kwa wachezaji wa akiba, hivyo Chelsea ina nafasi ya kuwa na moja ya ngome imara zaidi msimu ujao.
Kurejea kwa Andrey Santos pamoja na usajili wa Mahamoud Sar, Jamie Gittens, na Estevão Willian kutatoa mchango mkubwa katika kuongeza ubunifu na hatari katika safu ya kati na ya mbele. Na iwapo tutafanikiwa kumsajili Jorrel Hato, Morgan Rogers au Xavi Simons, bila shaka dirisha hili la usajili litakuwa mojawapo ya madirisha bora kabisa ya hivi karibuni.
YES na advantage iliyoko ni wkamba wakala wake ndio yule yule wa Mosies Caisedo, Nicolas Jackson na Kendry PaezKumbe hadi Xavi Simons nae tunataka kumsajili? Timu itakuwa nzuri sana safu ya ushambuliaji
Jackson awe back_up ya Palmer au atokee Winga kama tutapata majeruhi.Ili kikosi kiwe kizuri zaidi
1. Jackson akiondoka, msaidizi wa Palmer atafutwe.
2. Jackson akibaki, hivyo kocha amfanye acheze nyuma ya mshambuliaji ili awe mgawa mipira make hapo yupo vizuri sana.
3. Msaidizi wa Cucurella atafutwe.
Mawinga wetu...Netopia, Gittens, Estavao, George pia Joao Pedro anaweza kucheza nafasi hizo. Sasa ni wakati wa timu kutulia
Huyu kendry paez yupo kweli? Jamaa fundi sanaaaYES na advantage iliyoko ni wkamba wakala wake ndio yule yule wa Mosies Caisedo, Nicolas Jackson na Kendry Paez
Walitatamni wawepo lakini haikuwa bahati yao. Waliulize kama ni kombe la ovyo Bigwa Club world Cup amepewa kiasi gani cha fedha. Wanatamani lakini hawana uwezo huoHapa mtaani kwangu wamepotea, hasa Arsenal na Liverpool, aibu yao hawaonekani mtaani asubuhi ya kuamkia jana. Na naamini leo wakionekana watajifanya hakuna kilichotokea duniani kwa upande wa Chelsea.
Wao Arsenal walikuwa mstari wa mbele kuishambulia Chelsea na kuyaita mashindano ni pre-seaosn yenye kombe.
Liverpool wao walikuwa mstari wa mbele kuyashambulia haya mashindano wakidai ni mashindano ya hovyo kuwahi kutokea. Ila utashangaa mashindano ya 2029 watapambana kufa na kupona wawepo na kuzima data kana kwamba hawajawahi kuyadharau
Jackson anakuwa mzuri akicheza winger.Jackson awe back_up ya Palmer au atokee Winga kama tutapata majeruhi.
Kwani Simon anacheza nafasi gani sijawahi kumuonaYES na advantage iliyoko ni wkamba wakala wake ndio yule yule wa Mosies Caisedo, Nicolas Jackson na Kendry Paez