Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 508
- 711
Duh hii Chelsea mbeleni itasumbua sana na kuzitesa timu nyingi kubwa ulaya ni swala la mda tuYES na advantage iliyoko ni wkamba wakala wake ndio yule yule wa Mosies Caisedo, Nicolas Jackson na Kendry Paez
🤣🤣🤣🤣🤣 wale jamaa walipotelea wapiTulishawahi kuwa na midfield wanaitwa Zakaria, Drinkwater, Bakayoko
Ili kikosi kiwe kizuri zaidi
1. Jackson akiondoka, msaidizi wa Palmer atafutwe.
2. Jackson akibaki, hivyo kocha amfanye acheze nyuma ya mshambuliaji ili awe mgawa mipira make hapo yupo vizuri sana.
3. Msaidizi wa Cucurella atafutwe.
Mawinga wetu...Netopia, Gittens, Estavao, George pia Joao Pedro anaweza kucheza nafasi hizo. Sasa ni wakati wa timu kutulia
Unajua kwanini nasema THE BLUES ni nzuri kwenye mishandano ya mitoano kuliko mbio ndefu EPL?
Kuna kitu kinaitwa ARI ya wachezaji. Huwa nasema wachezaji wetu wakiamua kucheza angalau 70% - 80% ya Nguvu + uwezo tunashinda mechi kirahisi.
Ili kufikia hiyo % lazima wachezaji wawe na ARI YA JUU. Unaweza kuangalia ARI ya wachezaji walioyoonyesha mechi 14 za mwisho EPL na FIFA CWC.
Hiyo ARI ndio waliyokuwa nayo Liverpool msimu ulioisha hata ukiwatangulia goal walikuwa wana uwezo wa kurudisha na kukubamiza.
THE BLUES kabla ya mechi 14 za mwisho ilikuwa ikipata bao unaona ARI za wachezaji zinashuka kila mchezaji anatuambia good nyt, kupelekea adui kukaza, kusawazisha na kuongeza goli.
Hata msimu ulioisha still tulikuwa na wachezaji wazuri wengi wasiokuwa na ARI ya kutumia nguvj+ uwezo wao kila mechi.
Msimu huu wachezaji wakiingia na ARI ya juu ya kutaka ushindi hata umpange mchezaji gani tutashinda mechi.
Takataka hii, madueke mweupe.Kumbe hadi Xavi Simons nae tunataka kumsajili? Timu itakuwa nzuri sana safu ya ushambuliaji
Wewe ungekuwa mmiliki wa Chelsea ungehama hii dun ia kwenda kuwatafuta aliens waje duniani kucheza mpira. Kila mchezaji kwako ni takatakaTakataka hii, madueke mweupe.
Garnancho ni LW mzuri sana na ana miaka 20 tu, usiwapime Nyumbu wakiwa Serengeti ila wapime wakiwa London 😀 😀😀😀Duh mbona unatutisha. Katika usajili staki kuusikia ni wa Ganacho kutoka Serengeti.
Shida huwa mnaangalia chelsea pekee ndio mana utaona hivyo, huyo mtoto kwa muda mchache niliofanikiwa kumuona, ni mchoyo sana. Yaan tumeuza madueke mwenye kitambaa cheusi kichwan tunanunua madueke mweupe asie na kitambaa cheusi.Wewe ungekuwa mmiliki wa Chelsea ungehama hii dun ia kwenda kuwatafuta aliens waje duniani kucheza mpira. Kila mchezaji kwako ni takataka
Xavi Simons ana miaka 22 tu na kwa achievement aliyokwisha ifikia tim,u yeyote kubwa ingependa kumsajili. Itakayomzuia tu ni kama ataendana na mfumo wa kocha. Chelsea ikifanikiwa kuuza wachezaji na hasa kama kati ya Nkunku an Jackson wakiuzwa, Chelsea inaweza kumsajili Xavi Simons au Morgan Roders. Kwa Moirgan Roders Chelsea inaweza kubadilishana na Nicoals Jackson kwa ajili ya kutimiza masharti ya UEFA. Aston Vila watatakiwa kuuza wachezaji. Sis nuuzwaji wa Noni Madueke→ Arsenal for €55.4M, Djordje Petrovic → Bournemouth for €28.88M, Bashir Humphreys → Burnley for €14M, Kepa Arrizabalaga → Arsenal for €5.8M na Marcus Bettinelli → Man City for €2.4M umetatua hitaji la UEFA.
MuhimuAlafu kuchukua hilo kombe kusiwadanganye kuwa Chelsea iko imara kuzi challenge Liverpool na Man City kwenye ligi. Chelsea bado sana inabidi tutoe matakataka kuanzia Kocha.
Kama unamaanisha hiyo hata mimi niliona hiyo kwenye comparizon na Morgan Rodgers. Hata hivyo bado Simons amemuach mbali sana Madueke na kama kocha atamuona anafaa ni kwa vile unyimi wake hauna madhara yadhahiri kwenmye kuisaidia timu ishinde. Madueke kwa uchoyo alikuwa too muchShida huwa mnaangalia chelsea pekee ndio mana utaona hivyo, huyo mtoto kwa muda mchache niliofanikiwa kumuona, ni mchoyo sana. Yaan tumeuza madueke mwenye kitambaa cheusi kichwan tunanunua madueke mweupe asie na kitambaa cheusi.
Huu uamuzi wa Palmer unaweza kuisaida sana Chelsea kuliko kuishi na mchumba mgomvi bora aishi peke yake kwanza ainue kiwango chanke cha sokaCole Palmer na mpenzi wake, Connie Grace, waliacha kufuatana kwenye Instagram baada ya Cole Palmer kukataa ombi lake la ndoa. Connie amekuwa akimlazimisha Cole Palmer kufunga ndoa ya kimkataba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, lakini nyota huyo wa Chelsea amekuwa akisitasita na kusema kuwa yeye ni bado ni mdogo sana kwa ndoa na anataka kuzingatia taaluma yake ya mpira kwanza.
View attachment 3412454
Amefanya maamuzi sahihi kbs, kwanza mwanamke mwnyew anaonekana yupo kimkakati zaidi, anataka ndoa akijua dogo mali ipo. Amwache dogo ale maisha kwanza ndoa badaeee sana.Huu uamuzi wa Palmer unaweza kuisaida sana Chelsea kuliko kuishi na mchumba mgomvi bora aishi peke yake kwanza ainue kiwango chanke cha soka
Hivi mfano ikatokea hii team imeingia UEFA pamoja na Chelsea haiwezi ikawa na shidaMamaqdou Sar anarudi Starsbourg kwa mkopo baada ya kusani mkatab wa miaka nane na Chelsea
View attachment 3412460
Ikitokea hivyo sijui itakuajeSheria ya UEFA hairuhusu timu mbili au zaidi za mmiliki mmoja kushiriki mashindano, managament inachagua timu moja ya kushiriki. Nadhani ndio sheria hiyo sijui kama imeshabadilika
Ilikuwa iwe hivyo msimu uliopita na wamiliki walifanya yafuatayo:Hivi mfano ikatokea hii team imeingia UEFA pamoja na Chelsea haiwezi ikawa na shida
Hapana ndg. Hii option ni too extreme na haijawahi kutokea hivyo tangu hiyo sheria itungwe. Crystal Palace wao walifanyiwa demotion kutoka Europa League kwenda Confrenece league kwa sababu wamili hawakufanya yaliyotakiwa kufanywa kabla ya tarehe 1, March ambayo ndio deadline ya kufanya hayo marekebishao ya umilikiSheria ya UEFA hairuhusu timu mbili au zaidi za mmiliki mmoja kushiriki mashindano, managament inachagua timu moja ya kushiriki. Nadhani ndio sheria hiyo sijui kama imeshabadilika.
Hii situation ya aina hiyo iliwahi kumuharibia sana Antony Martial akiwa Man Utd lakini pia iliwahi kumuharibia sana Kepa Arrizabalaga akawa anachomesha vibaya mno.Huu uamuzi wa Palmer unaweza kuisaida sana Chelsea kuliko kuishi na mchumba mgomvi bora aishi peke yake kwanza ainue kiwango chanke cha soka