Hii taarifa imenichekesha 😂Chelsea FC imeripotiwa kuamua kuwaita baadhi ya wachezaji wake kutoka likizo kutokana na wasiwasi unaoongezeka kuhusu hali yao ya akili baada ya msimu mkali. Uamuzi huu unakuja kufuatia picha na taarifa za kushangaza zinazoonyesha wachezaji wakijihusisha na tabia za ajabu na hatarishi wakati wa mapumziko yao.
Kuanzia kuruka angani na ndege, kuingiliana na simba na chatu, hadi kushindana na pomboo na kufanya mizunguko angani, tabia hizi zimezusha taharuki ndani ya klabu. Vyanzo vinasema baadhi ya mashabiki na hata viongozi wa juu wa klabu walilazwa hospitalini baada ya kushuhudia matukio hayo ya kushtua.
View attachment 3419025View attachment 3419028View attachment 3419029
Ipi sababu ya chalobah kurudishwa?Huwezi kumlinganisha Chalobah na top defenders la sivyo timu kubwa kubwa zingemfukuzia hasa wakati na wakati huu Chelsea ina mpango wa kumuuza tena wangekuwa Tayari kumnunua kwa zaidi ya pauni milioni 60 au 70.
Chalobah hawezi kuwania mipira ya juu kwenye presha kubwa kama Colwill anavyofanya
Chalobah anakuwa na maamuzi hatarishi wakati wa presha kubwa
Chalobah sio mzuri sana kwenye kufanya interceptions
Pia sio mzuri kwenye kuusoma mchezo kama mabekli wakubwa wanavyofanya
Chalobah hawezi kucheza vizuri kwa kutumia mguu wake wa kushoto
Hivi vitu ndivyo vinamuangusha na kocha asimuweke kwenye mahesabu yake
Japokuwa hauzwi kwa kutupa ila kwenye peking order Chalobah yuko nyuma ya Fofana na Tosin na ndio sababu kubwa ya kuuzwa. Maresca anapenda kuwatumia zaidi Fofana na Tosin zaidi yake
Mbona nusu fainal na fainal amecheza chalobah na sio TosinHuwezi kumlinganisha Chalobah na top defenders la sivyo timu kubwa kubwa zingemfukuzia hasa wakati na wakati huu Chelsea ina mpango wa kumuuza tena wangekuwa Tayari kumnunua kwa zaidi ya pauni milioni 60 au 70.
Chalobah hawezi kuwania mipira ya juu kwenye presha kubwa kama Colwill anavyofanya
Chalobah anakuwa na maamuzi hatarishi wakati wa presha kubwa
Chalobah sio mzuri sana kwenye kufanya interceptions
Pia sio mzuri kwenye kuusoma mchezo kama mabekli wakubwa wanavyofanya
Chalobah hawezi kucheza vizuri kwa kutumia mguu wake wa kushoto
Hivi vitu ndivyo vinamuangusha na kocha asimuweke kwenye mahesabu yake
Japokuwa hauzwi kwa kutupa ila kwenye peking order Chalobah yuko nyuma ya Fofana na Tosin na ndio sababu kubwa ya kuuzwa. Maresca anapenda kuwatumia zaidi Fofana na Tosin zaidi yake
Hata Mimi nashangaaWawauze badiashile na disasi kwanza.
🤣🤣kwani ukiwa likizo kuna shughuli hutakiwi kuyafanya kama hayavunji sheria? japo sijaelewa hapo uliposema viongozi na mashabiki kulazwa hospitali, ni baada ya kushudia yanayotendwa na wachezaji wa Chelsea wakiwa mapumzikoni?
Swali zuri sanaIpi sababu ya chalobah kurudishwa?
Kwahy hy sababu imeshaisha?
Chelsea ilishindwa kusajili wachezaji January na majerruhi ya Wesley Fofana and Benoît Badiashile ndio miliyolazimu management kuita kuja kuziba nafasi ya Wesley Fofana and Benoît BadiashileIpi sababu ya chalobah kurudishwa?
Kwahy hy sababu imeshaisha?
Kocha alikuwa akiwarotate kama ulifuatilia na taarifa zingine zinasema hata Tosin akipatikana wa kumnunua watamuuza ila hawatalazimishaMbona nusu fainal na fainal amecheza chalobah na sio Tosin
Takataka Fofana ni wa kuuzwaBora ligi ianze ili tuanze kukimbiza watu...hivi majeruhi ya Lavia na Fofona ni ugonjwa gani usiyopona?
Nakubaliana na ww Chalobah kaemprove sana.Yaani uuze kitasa Chalobah ubakize galasa Disasi na mgonjwa wa kudumu Fofana ,aisee utakuwa na ugonjwa wa akili .
Chalobah tusiwe wanafiki kaimprove sana , si Chalobah yule wa zamani , sometimes wachezaji wanahitaji kupewa muda
Umemkosea heshima Lavia kumuweka kundi moja na hao wachezajiLavia
Fofana
Jackson
Hall
Tosin
Sterling
Felix
Disasi
Ukiacha injuries Fofana ni mchezaji mzuri na huwa akirudi huwa anakiwasha ndio maana management wanakuwa wazito kufikiria kumuuzaTakataka Fofana ni wa kuuzwa
Ila Fofana ni mchezaji mzuriNakubaliana na ww Chalobah kaemprove sana.
Fofana ni wa kuuza anakula mshahara bure tu. Kama hamna mteja tuwape hata Arsenal bure kama asante yetu.
Mlisema hivi hivi kwa Reece JamesTakataka Fofana ni wa kuuzwa
ndg acha mhemkoLavia
Fofana
Jackson
Hall
Tosin
Sterling
Felix
Disasi
Ukiacha injuries Fofana ni mchezaji mzuri na huwa akirudi huwa anakiwasha ndio maana management wanakuwa wazito kufikiria kumuuza
Angekuwa takataka uongozi usingemrudisha.
Wewe na wewe unashida, kila mtu anamjua Fofana alivyo mzuriWewe kwa kutetea matakataka uko vizuri, Fofana ni lini amekiwasha?