Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Arse8 watuongezee mapene kidogo kwa kuwataarifu waje wawanunue Wachezaji bora sana kwa ubahili wa wadhamini wao.Lavia
Fofana
Jackson
Hall
Tosin
Sterling
Felix
Disasi
Ww mwnyw unajua kabisa hakuna mchezaji wa Chelsea aliyewahi kuja arsenyeto afu asiwe first eleven 😂 ngoja winga teleza bwana Madueke awape kombe hata la kahawa msimu ujaoFirst 30 yenu yote hakuna hata mmoja anayeingia first 15 ya Ze Ganaz
Naskia pia saka, saliba na Martinez wapo kwenye kikosi bora za ball boys 😂Eti na Silva naye yumo 😃😃😃. Haya yalikuwa mashindano ya kueleweka ama kibonanza kilichochangamka?
Tunaomba na nyie mtuuzie SakaVipi nyie. Mnaonaje mkituuzia na Malo Gusto maana nyie si wazee wakututupia wachezaji wenu?
Ninyi hamjui kumtambua mchezaji mzuri. Mnampima Jackson kwa makosa yake ila uzuri wake mnaweka kapuniWe kuna muda akaunti yako inadukuliwa sio siri.
Tupe shikamoo, bosi wenu tumemfunga kwa aibuEti na Silva naye yumo 😃😃😃. Haya yalikuwa mashindano ya kueleweka ama kibonanza kilichochangamka?
Rekodi yangu inanionyesha kuwa huwa tunawauzia mabaki yaliyochoka au misfitsVipi nyie. Mnaonaje mkituuzia na Malo Gusto maana nyie si wazee wakututupia wachezaji wenu?
Kuona mchezaji mzuri ni moja ila bei yake sokoni na ukubwa wa timu anayotoka ni suala lingineBadala ya kusajili takataka Jorrel Hato kutoka Ajax twende pale Inter Milan tuchukue chuma Alessandro Bastoni. Huwa napendekeza wachezaji wazuri wa kuwa sajili ila bahati mbaya siko kwenye hizo nguvu za kufanya maamuzi.
Niliwahi kuandika hapa mimi niko vizuri kwenye skauti ya kuona wachezaji wazuri, laiti ningekuwa kwenye skauti ya Chelsea basi timu ingekuwa na wachezaji wazuri sana.
Huyo Gusto pia ni mzembe mzembe.Rekodi yangu inanionyesha kuwa huwa tunawauzia mabaki yaliyochoka au misfits
Si ulisema tuwauzie uyo? Eti saiv mzembe 😂Huyo Gusto pia ni mzembe mzembe.
Si ndiyo namaanisha hivyo. Yaani jamaa ni mzembe mzembe so tuuzieni basi na huyo kama mlivyofanya kwa Madueke 😀 😀Si ulisema tuwauzie uyo? Eti saiv mzembe 😂
Sisi sio wajinga 😄😄Si ndiyo namaanisha hivyo. Yaani jamaa ni mzembe mzembe so tuuzieni basi na huyo kama mlivyofanya kwa Madueke 😀 😀
Kila shabiki wa mpira ni scout , swali ni je huyo mchezaji unayemtaka wewe anafiti kwenye mfumo wa ChelseaBadala ya kusajili takataka Jorrel Hato kutoka Ajax twende pale Inter Milan tuchukue chuma Alessandro Bastoni. Huwa napendekeza wachezaji wazuri wa kuwa sajili ila bahati mbaya siko kwenye hizo nguvu za kufanya maamuzi.
Niliwahi kuandika hapa mimi niko vizuri kwenye skauti ya kuona wachezaji wazuri, laiti ningekuwa kwenye skauti ya Chelsea basi timu ingekuwa na wachezaji wazuri sana.
Hwa wachezaji mnaowasifia kwenye dirish mtakuja kuwajutia kwenye ligiIsak huyo anakuja anfield endeleeni kusajili vituko awapime umri tena maana huwa anawagaragaza vibaya sana
Hana attitude mbaya kama ya MaduekeHuyo Gusto pia ni mzembe mzembe.
Naona umepagawa wewe akili zimekuruka maana unaandika vituko yaani isak anaumri mkubwa hao uliowataja nani alikuja Chelsea na miaka 25 maana wote umenitajia wamekuja hapo wakiwa wazee hivi unaakili timamu kweli wewe upo huko porini unajiona una akili kuliko uongozi wa Liverpool aisee hahahaha humu Kuna vituko h 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hwa wachezaji mnaowasifia kwenye dirish mtakuja kuwajutia kwenye ligi
Mchezaji wa umri mkubwa, ada kubwa na mshahara mkubwa ni wa kuwaogopa kama ukoma
Sisi tumejifunza kwa
Raheem Sterling
Romelu Lukaku
Kalidou Koulibaly
Na wengineo
Hao wachezaji wengi wao wanaflop kwa sababu wamefika mwishoi wa ndoto zao na wakiflop labda mjue negotiation na Saudi Pro League vinginevyo itabidi muwagaramie hadi mikataba yao iishe au mufidie sehemu ya mshahara wakati wa mauzo kama Man U walivyofanya kwa Sacho
Wewe ndio naona umepagawa zaidi kwa sababu kwa nilichoandiak wewe umeona umri tuNaona umepagawa wewe akili zimekuruka maana unaandika vituko yaani isak anaumri mkubwa hao uliowataja nani alikuja Chelsea na miaka 25 maana wote umenitajia wamekuja hapo wakiwa wazee hivi unaakili timamu kweli wewe upo huko porini unajiona una akili kuliko uongozi wa Liverpool aisee hahahaha humu Kuna vituko h 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani we pesa isiyo Yako inakuuma nini si ndio vizuri Ili nyie mbebe makombe yote au umepagawa hutaki timu Yako ibebe makombe acha Liverpool wasajili vibaya ilo mbebe makombe shida Iko wapi kwani🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ndio naona umepagawa zaidi kwa sababu kwa nilichoandiak wewe umeona umri tu
Narudia kusema
Mchezaji akisha kuwa na factors hizi nilizozitaja, omba Mungu asiflop
Isaka akishindwa kudeliver na mkitaka kumuuza lazima mfanye vitu viwili
Muuze kwa bei chee
Mufidie mshara wake kwa miaka ya mkataba iliyobaki
Tusiandikie mata tusubiri iligi ianze tuone nani alisajili vizuri