Navyojibu hoja zenu vzr naonekana naongea sn!
Teh Teh Teh Teh
Hahaaaaa Katavi kanisaidia we ndo rafki uliyebakia mwenye makelele humu, unakomaa mbaya.
Yani wewe Ndio kigeugeu! Nayakumbuka yote ninayosema kwasababu ni mambo ambayo nayafahamu vzr!
Nilisema hivi history inaoenesha kwamba Jose Mourinho hajawahi poteza kombe hasa ligi inapofikia hatua Hii huku akiwa anaongoza ligi! Sikuzungumza habari za Chelsea Au habari za kutokupoteza mechi! Kwahiyo uwe unasoma hoja zangu vzr then unaelewa vinginevyo wewe Ndio utakua unaongea sn!
Teh Teh Teh Teh
Yani hapa mtatosha tu! Mnakuja na vihoja vyenu Mbuzi! Teh Teh Teh! Sisi wengine Chelsea damudamu km nimekunywa Maji ya daraja!
Hahaaaa nafurahi tu unavyokiri kwamba ligi zote zinakuwa ngumu huku mwishoni, na matumaini yako yanayeyuka siku hadi siku.
Nikuambie kitu....Yesu aliulizwa na shetani "Hivi we umeondoka kule duniani umewaachia nn wanadamu, YESU akajibu nimewaachia Biblia na Roho Mtakatifu. Shetani akasema mi nimewaachia mpira."
Timu kutoka EPL iliyocheza jana itawakilisha EPL
Ni vizuri tumekuona tena ukiwa hai. You went into hiding after we spanked your fat ar$e six times. Au unanitafuta nikupige bao nyingine za nguvu? Ina maana sita hazikuchoshi bado? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Aisee....agh we ni nouma mkuu! !
Umekunywa maji ya daraja.
hiki ndio kikosi kitakachoikabili PSG jumanne ijayo??
kikosi kitakachotetea ubingwa wa Uingereza msimu ujao.
umenielewa?
sijakuelewa. mtatetea ubingwa ambao hamjachukua?! how?
CHELSEA FC 6 - 0 ARSENAL FC.
1. ETOO.
2. SHURRLE.
3. HAZARD.
4. OSCAR.
5. OSCAR.
6. SALAH.
karibuni darajani tena nyinyi wafaransa wa uingereza; PSG watajuta kuzaliwa JUMANNE usiku. wakaulize NAPOLI.
:boxing:
Karibu tena jukwaani,tunamshukuru Invisible kuamua kukufungulia toka kifungoni
Jumanne itakuwa zamu ya Cahill au Ivanovic kumfunga Petr Cech
na jumatano wakati matokeo yatakapokuwa hivi:
BAYERN MUNICH 5 - 0 MAN UNITED.:A S 13:
Manchester United hatuna mabeki wanaoshindana kumfunga golikipa wao kama wanafanya kina Terry na Luiz