Ndio maana nilikwambia Chelsea haina sababu za msingi za kumsajili Garnacho kitu ambacho kimemtokea huyu dogo guiu ndicho kitachomtokea Estevao hatapata muda wakutosha wa mechiIlikuwa awe direct kwenye timu lakini ilionekana anahitaji exposure ambayo Chelsea hataipata. Sio kosa la timu alipewa nafasi ila haikuwa nzuri. Naamini akipata nafasi ya kucheza SUnderland atakuwa mchezaji mzuri sana
Kabisa mkuu ila msimamo wangu kwa Garnacho uko pale pale asisajiliwe unajua kwenye team yetu upande wa winga wa kushoto tuna Gittens kumbuka pia tunamuongeza Xavi Simons, upande wa kulia tuna Neto na Estevao na ukiangalia wote hao Wana uwezo wakucheza winga wa kushoto na kulia usisahau pia Palmer na Joao Pedro wote wanaweza kucheza hizo nafasi kasoro Delap pekee Sasa jiulize unamuongeza Garnacho kufanya Nini? Kama idadi ya wachezaji tunao wakutosha hii inapelekea kuwe na mlundikano wa wachezaji wengi wasio na ulazimaLavia ni silaha hatari kwa adui lakini ukishaitumia inaungua na kufuka moshi.
Si amesaidia team kuwa big 4 lakini pia kushinda club bingwa ya duniaMpaka sasa lavia amefanya nn hapo Chelsea?
Yaani Lavia akiwa mzima hakuna wa kumuweka benchi pale. Maresca alishakiri kuwa Lavia akiwa uwaqnjani midfield inakuwa na balance anayotakaBado lavia, anasifiwa sana humu ila mm nasema tangu kitambo pale hamna kitu
Ndio maana nilikwambia Chelsea haina sababu za msingi za kumsajili Garnacho kitu ambacho kimemtokea huyu dogo guiu ndicho kitachomtokea Estevao hatapata muda wakutosha wa mechi
Heshimu sana mchezaji anayeweza umia miezi 3 lakini ndani ya mechi 2 unaona ubora wakeMpaka sasa lavia amefanya nn hapo Chelsea?
Kuna wakati ntamani Estavao angeachwa kwako mpka 2027 ndio aje maana naona kabisa anakwenda kupotea vibaya sana kma timu inataka kurundika wa chezaji amabo hawatumiii eti kisa michuano mingi namba moja wachezaji 4 mpka 5 ssa ndio nni Giten yupo watu wamemsahau as if hawajasajiliwa tena akina GarnachoNdio maana nilikwambia Chelsea haina sababu za msingi za kumsajili Garnacho kitu ambacho kimemtokea huyu dogo guiu ndicho kitachomtokea Estevao hatapata muda wakutosha wa mechi
Heshimu sana mchezaji anayeweza umia miezi 3 lakini ndani ya mechi 2 unaona ubora wake
Lavia mchawi ni majeruhi tu na wala sio kiwa
Wachezaji wengi wako wapi, au ninyi hamfuatilii Chelsea nini. Kocha atawachagua wachezaji wasiozidi 25-27 sasa wingi wa wachezajiw ako wapi hapoKuna wakati ntamani Estavao angeachwa kwako mpka 2027 ndio aje maana naona kabisa anakwenda kupotea vibaya sana kma timu inataka kurundika wa chezaji amabo hawatumiii eti kisa michuano mingi namba moja wachezaji 4 mpka 5 ssa ndio nni Giten yupo watu wamemsahau as if hawajasajiliwa tena akina Garnacho
Sijui kwanini hawalioni hiliKuna wakati ntamani Estavao angeachwa kwako mpka 2027 ndio aje maana naona kabisa anakwenda kupotea vibaya sana kma timu inataka kurundika wa chezaji amabo hawatumiii eti kisa michuano mingi namba moja wachezaji 4 mpka 5 ssa ndio nni Giten yupo watu wamemsahau as if hawajasajiliwa tena akina Garnacho
Garnacho Hana umuhimu wowote wa kusajiliwa hiko ndicho tunachopingaWachezaji wengi wako wapi, au ninyi hamfuatilii Chelsea nini. Kocha atawachagua wachezaji wasiozidi 25-27 sasa wingi wa wachezajiw ako wapi hapo
Kikosi cha Chelsea 2025/26 hii hapa, wachezaji wanaokosekana aidha watauzwa au watatolewa mkopo
Ebu sema kikosi kikubwa kiko wapi hapa
Goalkeepers
Defenders
- Robert Sánchez – Goalkeeper
- Filip Jørgensen – Goalkeeper
Midfielders
- Malo Gusto – Right Back
- Reece James – Right Back / Defensive Midfielder
- Tosin Adarabioyo – Centre Back
- Trevoh Chalobah – Centre Back
- Wesley Fofana – Centre Back
- Benoît Badiashile – Centre Back
- Levi Colwill – Centre Back
- Marc Cucurella – Left Back
- Jorel Hato – Left Back
Wingers / Playmakers
- Moisés Caicedo – Defensive Midfielder / Right Back
- Romeo Lavia – Defensive Midfielder
- Dário Essugo – Central Midfielder
- Andrey Santos – Central / Attacking Midfielder
- Enzo Fernández – Central Midfielder / CAM
- Kiernan Dewsbury-Hall – Central Midfielder
- Xavi Simons – Attacking Midfielder (CAM)
- Cole Palmer – Attacking Midfielder / Right Winger
Strikers
- Jamie Gittens – Left Winger
- Alejandro Garnacho – Left Winger
- Pedro Neto – Right / Left Winger
- Estevão Willian – Right Winger / No. 10
- Liam Delap – Striker
- João Pedro – Striker / No. 10 / Left Winger
- Nicolas Jackson – Striker
Kwa Garnacho hapo nakuunga mkonoHuwa nawambia hapa wanao haribu timu ni hao matajiri, wana sajili hovyo hovyo tu bila mpangilio. Kazi kusajili matakataka tu
Alejandro Garancho atakuja kuwatapisha yote m,liyosema kama ilivyokuwa kwenye usajili wa Cole Palmer. Mashabiki walipinga hadi wengine wakatokwa na mapovu. Huyu Garnacho kaanzia Man U iliyooza na akiwa na umri mdogo sana, mentality yake ya kitoto. Anakuja kwenye system nyingine kabisa ambayo Maresca ameshainyoosha na akuitia adabu kwa sababu Maresca akisikia tu unalalamika hata uivunguni atakupiga ban ya haraka sanaGarnacho Hana umuhimu wowote wa kusajiliwa hiko ndicho tunachopinga
Sio kila mchezaji anasajiliwa kwa ajili ya kucheza kwenye main team. Model ya mradi wengi hamjui.Huwa nawambia hapa wanao haribu timu ni hao matajiri, wana sajili hovyo hovyo tu bila mpangilio. Kazi kusajili matakataka tu
Mbona simuoni Nkunku wakati yupo sana kwa ajili ya fa cupWachezaji wengi wako wapi, au ninyi hamfuatilii Chelsea nini. Kocha atawachagua wachezaji wasiozidi 25-27 sasa wingi wa wachezajiw ako wapi hapo
Kikosi cha Chelsea 2025/26 hii hapa, wachezaji wanaokosekana aidha watauzwa au watatolewa mkopo
Ebu sema kikosi kikubwa kiko wapi hapa
Goalkeepers
Defenders
- Robert Sánchez – Goalkeeper
- Filip Jørgensen – Goalkeeper
Midfielders
- Malo Gusto – Right Back
- Reece James – Right Back / Defensive Midfielder
- Tosin Adarabioyo – Centre Back
- Trevoh Chalobah – Centre Back
- Wesley Fofana – Centre Back
- Benoît Badiashile – Centre Back
- Levi Colwill – Centre Back
- Marc Cucurella – Left Back
- Jorel Hato – Left Back
Wingers / Playmakers
- Moisés Caicedo – Defensive Midfielder / Right Back
- Romeo Lavia – Defensive Midfielder
- Dário Essugo – Central Midfielder
- Andrey Santos – Central / Attacking Midfielder
- Enzo Fernández – Central Midfielder / CAM
- Kiernan Dewsbury-Hall – Central Midfielder
- Xavi Simons – Central Attacking Midfielder (CAM)
- Cole Palmer –Central Attacking Midfielder (CAM)/ Right Winger
Strikers
- Jamie Gittens – Left Winger
- Alejandro Garnacho – Left Winger
- Pedro Neto – Right / Left Winger
- Estevão Willian – Right Winger / No. 10
- Liam Delap – Striker
- João Pedro – Striker / No. 10 / Left Winger
- Nicolas Jackson – Striker
Mkuu huo upande wa winger wa kushoto tuna George na Gittens wanatosha kabisa, tunatakiwa kumpa nafasi sana huyu dogo kuliko kuanza kumuharibu kwa kumpeleka kwa mkopo wakati unaona kabisa potential yake ukiacha hivyo wote Neto na Estevao wanaweza pia kucheza kwenye LW plus Palmer bila kusahau pia Joao Pedro anaweza pia kucheza kwenye Hilo eneo in short tuna wachezaji wengi wanaoweza kucheza both winger ya kulia na kushoto (Gittens, George, Neto, Estevao, Joao Pedro, Palmer,Xavi Simons na Jackson Kama hatouzwa) Maresca ana option nyingi na ya kutosha huyo Garnacho anakuja kufanya Nini? Huu upuuzi ndio unaopelekea tuwe na mlundiko wa wachezaji wengi bila umuhimu wowote, mtu Kama Estevao mpira wake utakuwaje Kama hatopata nafasi ya kutosha kwasababu ya kulundika wachezaji wengi sisemi Garnacho ni mchezaji mbaya la hasha! Ila ninachopinga kufanya usajili bila kuzingatia mahitaji ya team hiyo pesa ya kumsajili Garnacho si Bora hata tumsajili kipa mwingine au beki wa kati wa kulia mzoefuAlejandro Garancho atakuja kuwatapisha yote m,liyosema kama ilivyokuwa kwenye usajili wa Cole Palmer. Mashabiki walipinga hadi wengine wakatokwa na mapovu. Huyu Garnacho kaanzia Man U iliyooza na akiwa na umri mdogo sana, mentality yake ya kitoto. Anakuja kwenye system nyingine kabisa ambayo Maresca ameshainyoosha na akuitia adabu kwa sababu Maresca akisikia tu unalalamika hata uivunguni atakupiga ban ya haraka sana
Mimi sitaongea zaidi lakini Umuhimu wa kwanza kuliko wote wa garnacho ni LW pamoja na Jamie Gittens au mantaka Jamie Gittens acheze mwenyewe pale. Toeni majibu kwa sababu Marecsa hana mtu wa hapo
Options za winga nio hawa hapa
Wingers / Playmakers
- Jamie Gittens – Left Winger
- Alejandro Garnacho – Left Winger
- Pedro Neto – Right / Left Winger
- Estevão Willian – Right Winger / No. 10
Nkuku yupo kwenye plan ya kuuzwaMbona simuoni Nkunku wakati yupo sana kwa ajili ya fa cup