Super squad player ameuzwa
Fursa imejitokeza hakuwekwa kwenye mpango wa kuuzwa kwa lazima kama akina Sterling, Nkunku na coJapo Maresca anampenda kwa sababu halalamiki na hujitoa kikamilifu anapohitajika, hakuna jinsi—Everton wanamtaka.
"Kiernan Dewsbury-Hall to Everton is imminent."
View attachment 3431036
Kdh hakuwa kwenye mpango wa kuuzwa but imetokea fursa ya kutakiwa na team na Everton wamekuja na offer nzuri ukizitiwa ni mchezaji ambaye wa akiba ndio maana Chelsea haikusita kumuuza. Kumbuka pia Chelsea wapo kwenye mpango wakuuza wachezaji mara chance hiyo imetokea ndio maana wamefanya biasharaHuwezi kuuza mchezaji ambaye yupo kwenye mipango mbona Lavia na Fofana ni majiruhi kila siku lakini hawauzwi? Kwa sababu wapo kwenye mipango.
Next:- Jackson, Nkunku, Disasi, Santos (Mkopo) Tosin, Sterling, Lavia + Fofana (Cost Benefit Analysis).
Kabla dirisha halijafungwa kuna CBs wawili watashushwa. Believe that.
Si kweli Lavia kucheza mechi ngapi msimu uliopita? ,chache sana muda wote alikuwa kitandani .Huyo Lavia ndio alifanya mpaka Kuna muda tuone team yetu inataka kuchukua ubingwa wa EPL ila baada ya kuumia ndio team ikaanza kupoteza direction. Kwa namna tulivyosajili Lavia anaumuhimu kwasababu nafasi yake Kuna watu watacheza na yeye atakuwa sehemu ya msaada kwahiyo hapaswi kuuzwa
KDH hakuwa kwenye mpango, nilisema amekuwa squad player asiye na manung'uniko. Squad player ni kama spair part ya tairi linalowekwa nyuma ya gari. Inaeza ikapita mwaka mzima bila kutumika.Huwezi kuuza mchezaji ambaye yupo kwenye mipango mbona Lavia na Fofana ni majiruhi kila siku lakini hawauzwi? Kwa sababu wapo kwenye mipango.
Next:- Jackson, Nkunku, Disasi, Santos (Mkopo) Tosin, Sterling, Lavia + Fofana (Cost Benefit Analysis).
Kabla dirisha halijafungwa kuna CBs wawili watashushwa. Believe that.
Mkuu huwa mfuatilii team yenu vizuriSi kweli Lavia kucheza mechi ngapi msimu uliopita? ,chache sana muda wote alikuwa kitandani .
Huyu boya alikua anaongea lugha gani wakati Palma alituambia kingereza hajui.Enzo Maresca na timu yake ya ukufunzi waliachwa "bila kauli" na impression ya kwanza ya Estevao kwenye mazoezi.
Katika mechi ya kwanza ya mazoezi, alifunga hattrick.
Alikuwa wa kwanza kufika, na pia wa mwisho kuondoka, alitumia masaa 2 katika ofisi ya Maresca kuzungumza mbinu za mpira.
View attachment 3431486
Italiano ni lugha ya asili ya Vulgar LatinHuyu boya alikua anaongea lugha gani wakati Palma alituambia kingereza hajui.
Umemwita boya ukimaanisha nini mkuu; naomba kufahamu ili yawezekana kuna jambo nikajifunza kwako.Huyu boya alikua anaongea lugha gani wakati Palma alituambia kingereza hajui.
We hii taarifa umeipatia wapi mbona ya ndani sanaEnzo Maresca na timu yake ya ukufunzi waliachwa "bila kauli" na impression ya kwanza ya Estevao kwenye mazoezi.
Katika mechi ya kwanza ya mazoezi, alifunga hattrick.
Alikuwa wa kwanza kufika, na pia wa mwisho kuondoka, alitumia masaa 2 katika ofisi ya Maresca kuzungumza mbinu za mpira.
View attachment 3431486
Nadhani ni ya kuzuga tuWe hii taarifa umeipatia wapi mbona ya ndani sana
Kwani Estevao alitoka Ligue 1? 😂EPL tofauti na League one. Estavao ajipange lasivyo atavunjwa mguu.
Ligi ya Brazili iko physical na tumemuona kwenye FIFA Club World Cup alivyocheza na kubeba MOTM mara 2 Palmeiras walipocheza na kutoa droo dhidi ya Porto na 2-0 dhidi ya Al AhlyKwani Estevao alitoka Ligue 1? 😂
Timu za Brazil pia kwenye club world cup wamefanya vzuri Kuna timu Moja ilimfunga inter mwana FAINALI ya UEFA nyingine ikawatoa Al hilal..bila kusahau flamengo walivyowafunga ChelseaLigi ya Brazili iko physical na tumemuona kwenye FIFA Club World Cup alivyocheza na kubeba MOTM mara 2 Palmeiras walipocheza na kutoa droo dhidi ya Porto na 2-0 dhidi ya Al Ahly
Nilimuona ni kichwa upepo alivyowafunga chelsea akashangilia!, hakumwona Jao Pedro.Umemwita boya ukimaanisha nini mkuu; naomba kufahamu ili yawezekana kuna jambo nikajifunza kwako.