Acha kujidanganya wewe,ManUnited anahitaji droo,Chelsea anshitaji kushinda at least 2 bila.PSG wakija darajani itakuewa zamu ya Cahill kumfunga Petr Cech maana Luiz na Terry wao wameshafanikiwa kumfunga
sasa we si usubiri kwani j4 ni mbali ndugu, unaona kuwa hatuwezi kumfunga 2-0?
Mtamfunga 2-1 au 3-2 au 4-2 and you know what will happen after that...
Manchester United hatuna mabeki wanaoshindana kumfunga golikipa wao kama wanafanya kina Terry na Luiz
Mkuu umenifanya nicheke sana. Unamuongelea Luiz au Kolo?
Gaooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool
chelsea1-stc 0
Tunacheza mpira mzuri sana siamini au tumekutana na vibonde
now tunafocus kwa PSG...Lets pray Etoo awe fit...huyu Torres hakuna kitu...
we can do it..
KTBFFH
Mkuu! PSG wasikumbue kichwa! J4 lazima wapingwe!
Jose Mourinho ametuahidi kitupa raha! Na anataka Vijana wahakikishe kua Psg hawafungi goli!
Kocha wa PSG naye amewaambia vijana wake wahakikishe Chelsea hawafungi goli!
Patamu hapo...