Joao Pedro
Senior Member
- Oct 21, 2025
- 173
- 218
SawaHiyo ni bei ya clabu ya Rennes, Ofa ya sasa ya Chelsea kwa Jérémy Jacquet iko chini ya €65 milioni ambayo Rennes wanaitaka, lakini kiasi halisi bado hakijathibitishwa hadharani. Mazungumzo yanaendelea, na Chelsea tayari wamewatuma wawakilishi kwenda Ufaransa kusukuma dili hilo liendelee.
Hongereni Arsenal, enedleeni kumng'ang'ania huyo mganga wenuEverton wana mpangoi wa kumpa Arsenal Ubingwa
Too bad
Master Mendy mtaalamu wa Hizi kaziPanenka ni kisusio cha Mendy — laiti Brahim Díaz angejua, angechagua staili nyingine kabisa ya kupiga penalti.
View attachment 3531671
Kuna mmoja hapo hata wewe jina lake humjui ila unaongozwa na hisia sasa hivi.
Huyu jamaa akiwa fit, Chelsea una uhakika wa kupata clean sheet.
View attachment 3515191
NdiyoMabeki wa kati ambao tunaowahitaji na tusiowahitaji
Tunawahitaji lakini sio wa kuwategemea sana
🟨 Wesley Fofana - Ni mzuri akiwa fiti, lakini upatikanaji na uimara wa muda mrefu inatia wasiwasi.
🟨 Trevoh Chalobah — Ni beki mzuri, lakini mtindo wake hauendani na mradi wa sasa.
Wanaweza kuondoka
Wakisajili wazuri mbona hamsemi?Wakati umefika wa kusajili malapulapu na mazagazaga kujaza kikosi
Embu naomba unisaidie kitu, ni kidhibitisho gani ambacho kinaonyesha wamiliki wanamuingilia kocha?Dhana ya uendelevu au maono ya wamiliki naitilia mashaka kutokana na kinachoendelea. Ukitaka kujenga timu ya ushindani mbeleni ni lazima kuna vitu usacrifise kufikia hayo malengo.
Wamiliki wameshindwa kuacha kocha awe huru na timu yake kiasi wanataka wawe wanaingia mambo mengi ya wachezaji. Maana yake wakiona kocha anafanya jambo ambalo litaenda kinyume na biashara yao iwe rahisi ku interfere kulinda msingi wao.
Kwa hapo tu hiyo project waliyonayo siioni ikitekelezeka. Kwasababu tutakua tunaenda mbele na kurudi nyuma.
Duuh nyie mtakuwa arsenal mahasimu wa Jiji moja mnamuombea mabaya kocha mpya hamtaki Chels wainuke walete ushindan baina club mbalimbali England na kuleta UEFA....Mlichopata jana ni ile new manager bounce. It explains ni kivipi mliafford kupata magoli mawili na mkaamini yule dogo ni mzuri mkampa namba game dhidi ya Brentford.
But we all know y'all are shit. Lampard bado begi la nguo kaliweka standby.
Man City anatandikwa kama Norwich City
ndani ya dakika 2 goli 2 na bado wako vulnerable sana
Nmecheka hapo kwa chalobah 😂Mabeki wa kati ambao tunaowahitaji na tusiowahitaji
✅Levi Colwill — Beki wa kisasa, anacheza mpira vizuri, mwepesi, anafaa kabisa mustakabali wa Chelsea.
✅Mamadou Sarr — Kipaji kikubwa, mguu wa kushoto, beki mkali na mwenye uwiano mzuri.
✅Jérémy Jackuet — Kiwango cha juu cha uwezo, mwepesi, mwenye nguvu na anasogeza timu mbele.
🔵 Aaron Aneslimno — Bado hajakomaa kwa majukumu ya kikosi cha kwanza kwenye ligi kama ya EPL.
Tunawahitaji lakini sio wa kuwategemea sana
🟨 Wesley Fofana - Ni mzuri akiwa fiti, lakini upatikanaji na uimara wa muda mrefu inatia wasiwasi.
🟨 Trevoh Chalobah — Ni beki mzuri, lakini mtindo wake hauendani na mradi wa sasa.
Wanaweza kuondoka
🔴 Tosin Adarabioyo — Makosa mengi, hawezi kumudu mchezo chini ya presha. Hawezi kumudu 1v1 na ni mzito kurudi kulinda goli akishotoka nje ya eneo la hatari
🔴 Benoît Badiashile — Mzito kugeuka na kufanya tackling, na kwenye high line anateseka sana. anapoteza mipira sana na kuiweka Chelsea kwenye hatari ya kufungwa magoli ya hovyo
Anahitaji Mkopo Zaidi