kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Chelsea ikianza kufanya mabalaa yake usirudi, hatukutaki tenaKuanzia sasa nitakuwa naishabikia Man City kwa mkopo hadi mwisho wa msimu, ukichukia meza wembe na limao.
Wewe unajua mkopo ni kitu gani, hii timu sio yako, mwisho wa msimu, pre-season June tutakuwa wote penda usipende, ukichukia sana meza wembe na Limao itapooza hasira yakoChelsea ikianza kufanya mabalaa yake usirudi, hatukutaki tena
Naona unajichekeshaRosemary Fc π
Maafisa ubashiri washindwe wenyeweImebaki mechi 1 ya ushindi dhidi ya tottenham zilizobaki ni American charity
Mme gawa utamu tenaKuanzia sasa nitakuwa naishabikia Man City kwa mkopo hadi mwisho wa msimu, ukichukia meza wembe na limao.