Kalou sidhani kama Real Madrid wanamtaka Atletico hata kidogo
Game ya 02/03/2014 walipokutana na hawa jamaa ilikua moto.
Nadhani ni kati ya game ambazo R.Madrid zimewapa ugumu sana msimu huu. Walitoka 2-2 lakini C.ronaldo ndiyo alisawazisha dakika 8 kabla ya mpira kuisha
Atletico wako vizuri sana...yaani bora hata kukutana na Real Madrid semi final kuliko hawa viumbe..
ukitaka ubingwa hupaswi kuchagua wa kucheza naye;
atletico wanasumbua timu ambazo hazijui kukuba..waleteni kesho asubuhi mtaona;
CHELSEA THE CHAMPIONS.
chelsea ni timu with special spirit
kesho ikitoka tu ratiba tu! Basi nusu fainali itaanza kuchezwa kuanzia kesho!
Na mimi nitakua hapa mpk siku ya game kujadili!
Sisi tuko tayari kwa yeyote yule!
amina!
Chelsea hatofua dafu kwa atletico madrid
rekodi zote hizo zimetokea mbele ya macho yao..hapo hakuna rekodi ya mwaka 1970 au 1960 enzi za mpira wa magazeti..
tumeshuhudia rekodi zote katika kizazi chetu hiki hiki cha champions league:
Pamoja Mkuu!
Ktk hizi timu 4 zilizobaki, hakuna ata timu moja inayotaka kukutana na Chelsea! Ila sisi tuko tayari kwa yeyote! Ingawa Nahisi safari ya kwenda Madrid hatuwezi kuiepuka lazima tupamgwe na mmoja wao au km wakiamua twende Germany ni sawa! Lkn kila upande kuna memories nyingi tu zinaamka na kutupa msukumo na special spirit!
Pamoja Mkuu, let's see tomorrow which team are we going to face!
Napenda twende kwa Beyern tukawaachie tena kilio kama kile walichokipata kwenye fainali.
Mkuu kote ni burudani tu! Ukienda kwa R Madrid utamkuta Ancelote ambaye aliwahi Kua kocha Wa Chelsea na Jose pia alikua kocha Wa R Madrid! Kwahiyo Ktk Hiyo game kuna Radha Yake nzuri tu!
Kwa Munich km ulivyosema mwenyew!
Kwa ATM ni km tulivyokutana nao Ktk ufunguzi Wa CL msimu Wa Mwaka Jana!
Kwahiyo kila game iko na good memories Mkuu tena tamu sn!
Sisi ni timu tuko tayari kwa yoyote Yule!
chelsea naomba mpewe Bayern muwachape vizuri,bayern weupe kabisa.....
toka 1974 atl hajawahi ingia nusu soo yupo kikombe zaidi waulize barca hadi leo wamecheza gemu tatu na barca kuambulia point mbili tu.. mnaweza bahatisha mara ya mwisho mlikula nne..
Mkuu kote ni burudani tu! Ukienda kwa R Madrid utamkuta Ancelote ambaye aliwahi Kua kocha Wa Chelsea na Jose pia alikua kocha Wa R Madrid! Kwahiyo Ktk Hiyo game kuna Radha Yake nzuri tu!
Kwa Munich km ulivyosema mwenyew!
Kwa ATM ni km tulivyokutana nao Ktk ufunguzi Wa CL msimu Wa Mwaka Jana!
Kwahiyo kila game iko na good memories Mkuu tena tamu sn!
Sisi ni timu tuko tayari kwa yoyote Yule!
We are the team with special spirit
Tuko tayari kwa yeyote!