Umeona comeback huko?Mkumbuke niliwambia mapema kabisa, kwamba huyu Alonso sio kocha ni takataka tu.
Usiwe unamaliza manenoMkumbuke niliwambia mapema kabisa, kwamba huyu Alonso sio kocha ni takataka tu.
Unaonaga raha kuwaita wengine takataka eh!Mkumbuke niliwambia mapema kabisa, kwamba huyu Alonso sio kocha ni takataka tu.
January tunapaswa kusajili beki wa maana atakae saidiana na LaCroix wale matakataka ambao ako nao kule nyuma wana muangusha sana. Pia na kiungo (DM) tunapaswa kusajili.Usiwe unamaliza maneno
Kwa kiasi kikubwa kukosa kiungo mkabaji ndio inatuangisha kuliko hata beki maeneo ambayo yalitakiwa kuwe na kiungo mkabaji ambaye anafanya block au Clearence humkuti na magoal hayo tumefungwa sana ikiwemo magoal mawili ya jana we subiri arudi Caicedo utaona utofauti so unazingua sana kumlaumu Xabi Alonso.January tunapaswa kusajili beki wa maana atakae saidiana na LaCroix wale matakataka ambao ako nao kule nyuma wana muangusha sana. Pia na kiungo (DM) tunapaswa kusajili.
UnazinguaChelsea tupo kundi gani uefa? Game za jumaane na jumatano zimechezwa, halafu game za alhamisi silioni chama langu ze bluz kwenye fixtures.
Chelsea hii comeback ya kibabe sana