Ntuzu
Kwanza ligi ya safari hii ni ngumu, pili refa hakuwa mbaya kama unavyotaka kusema kwani alikuwa na uwezo wa kumtowa Ramires lakini aliminya na sijuwi ataandika nini kwenye repoti yake vyenginevyo akisema hakuiona basi FA watamfungia Ramires,
Tatu na muhimu unasema hukuiona gemu ya leo vipi unafanya conclusion ya refa wakati hukuiona gemu au ulisikilza radio?
NNe Jose anaweza kufungiwa kutokana na matamshi aliyotowa baada ya gemu
Muhimu wewe kubali gemu haikuwa yenu kubali kushindwa ingawa hutokosa sababu
umeyajuaje haya? Si umesema hukuangalia mpira? Ntuzu bhana!
mimi nilijua ni man utd tu ndio huwa 'inabebwa' kumbe hata liverpool...kazi ipo!!! like father like son...like Ntuzu like Mourinho
Mlicheza na Arsenal na Swansea na wachezaji wa timu hizo walipewa kadi nyekundu. Chelsea 11 walicheza na na mutu 10.Je waamuzi wa mechi hizi walikuwa pouwa? Ulifurahia matokeo ya mechi hizi au ulizima vuvuzela baada ya mechi hizi?
Kwa hiyo tayari una matokeo ya mechi baina ya Chelsea na Liverpool tayari? Liverpool watashinda kwa mabao ngapi?
Redcards ngapi zitatoka siku hiyo?
Unaelewa kuwa Liverpool haikutegemewa kabisa kuwa anaweza kutwaa ubingwa mwaka huu?. LP ilikuwa inapigania kucheza EU Champions legue tu, walikuwa wanapigania kumaliza top 4. Sasa wanaamini wanaweza kuukwaa ubingwa.
Waingereza timu zao zinajulikana km Liverpool, Man Utd na Newcastle na zipo zingine! Wakiona timu Ina nafasi ya kuchikua ubingwa lazima wakunyonge!
Kumbuka goli la utata la Liverpool dhidi ya Chelsea CL alilookoa Galas Mwaka 2005 na mechi ya mwisho ya man Utd aliyopewa penalty msimu Wa 2007 ivi km sijakosea! Hicho ndicho Liverpool atafanyiwa hasa Hizi game zilizobaki! Na ktk michango Yangu hapo nyuma kabla ya hii game nilisahau kabisa kuzungumzia FITINA za waingereza na FA kwa ujumla dhidi ya Chelsea na Jose Mourinho!
Teh Teh Teh Teh
Na uzuri Jose anawachana kweli kuanzia Media waamuzi etc!
Acha kuwa kama kocha wako wewe....katika mzunguko wa kwanza Liverpool alilalamika sana kuhusu marefa ila watu wakasema liverpool wanalia sana....kama unakumbukumbu nzuri Man City vs Liverpool pale ETIHAD Steling alifunga goli safi sana lakini ref. Alikataa na kudai ni Offside. Na tulipokwenda Bridge mambo nayo yakawa vilevile eto alimpiga rafu ya makusudi kabisa Suarez ndani ya box ila ref. Akavunga...Kwa hiyo tulieni kimya na mcheze mpira acheni excuses za marefa.
siku zote MFA maji haachi kutapatapa .hayo unayoongea ni maneno ya MFA maji bana.
utaongea kila aina ya neno Ila ukweli utabakia pale pale kwamba Jana mmegongwa na sio Jana tu hata game iliyopita mlishinda kwangekewa sana.
sasa HIV komaeni na uefa japo mfike final tu
Teh Teh Teh Teh Teh Teh!!!!!
Ntuzu hayo ni maneno yako kweli????
Na kuhusu RAMIREZ vipi??, mbona Refa aliuchuna Tu..???
Teh Teh Teh Teh Teh!!!!!
unalalamika nn wakat team yako week iliyopita tu ilipata matokeo kwa tabu dhidi ya 10 men wa Swansea, na mlicheza mpira M-bovu...!!!!!?
Dah!!!!!
Waingereza timu zao zinajulikana km Liverpool, Man Utd na Newcastle na zipo zingine! Wakiona timu Ina nafasi ya kuchikua ubingwa lazima wakunyonge!
Kumbuka goli la utata la Liverpool dhidi ya Chelsea CL alilookoa Galas Mwaka 2005 na mechi ya mwisho ya man Utd aliyopewa penalty msimu Wa 2007 ivi km sijakosea! Hicho ndicho Liverpool atafanyiwa hasa Hizi game zilizobaki! Na ktk michango Yangu hapo nyuma kabla ya hii game nilisahau kabisa kuzungumzia FITINA za waingereza na FA kwa ujumla dhidi ya Chelsea na Jose Mourinho!
Teh Teh Teh Teh
Na uzuri Jose anawachana kweli kuanzia Media waamuzi etc!
crystal palace walibebwa?? stoke city walibebwa?? acha maneno ya mfa maji wewe kubali matokeo nyinyi ni wakamiaji hamna kiwango. ni rahisi kukamia champions league na baadhi ya mechi za premier hasa against top four! mkicheza na timu ndogo mnarelax na kuambulia vichap......sikutegemea kwa maneno yako ungekuja na lame excuses kama hizi
Kwani Chelsea alikua anacheza na liverpool?
Kwanini usiseme Sunderland anaandaliwa mazingira ya kubaki ligi kuu?
Tufanye ile sio penati sasa matokeo itakua 1-1 ndo mnalilia droo?
Arsenal mlifunga magoli mengi sana punguzeni muongezee hapo:-D
This is not excuses as you say! Huu Ndio ukweli wenyewe!
Tena ktk hili lazima niseme! Ligi ingekua katikati ningesema right! Lkn ligi iliposasaiv na msimamo ulivyo lazima FITINA ifanyike!
haya ya FITINA ZA WAINGEREZA uliyajua tangu lini???jana??? sasa kwanini UNATANGAZA UBINGWA wakati unajua LIVERPOOL timu ya waingereza itabebwa? Ntuzu kumbe wewe ni aina ile ya mashabiki wanaoamini timu fulani zinabebwa,sasa itakuwa ngumu kuongea mpira na wewe,kwasababu mkishinda nyinyi against ten man au kwa penati ni sawa...ila siku mkifungwa nyinyi ni HUJUMA ILI TIMU FULANI IWE BINGWA....so whats the point kujadili ligi iliokwisha pangwa??? wewe sio mwanamichezo ni MSHABIKI TU WA CHELSEA CHELSEA CHELSEA....sio mwanamichezo.
cc: MosDef Mr. Wise AL SHARPTON
Ntuzu
The result sees the momentum grow in Liverpool's favour. In terms of what the Reds now have to do, little has changed; they must still ensure they don't lose to Chelsea on April 27 to avoid allowing City the chance to snatch the championship on goal difference. And they must win the rest of their remaining games, of course. However, they[LIVERPOOL] will know they are the toughest team still standing - the one whose manager[BRENDAN RODGERS] is saying all the right things, and whose players are running on incredible belief. These are factors that Mourinho should have mastered in his first season back at the Bridge, but he was too preoccupied with his 'little horse' - a metaphor that has been cut down to size by Liverpool's success.
angalia neutrals wanachosema sio habari za Chelsea unasoma kwenye mtandao wa chelsea peke yake unafikiri wataanika uozo wa mourinho??