huwezi kumfananisha rodriguez na costa,costa average sana
Huyu tunamfuatilia kwa nguvu kubwa; beki wa kushoto ana umri wa miaka 28 kwa sasa.
Beki mzoefu, raia wa Brazil, ila ATM wameng'ang'ania dau lake kwamba lazima Chelsea fc ilipe paundi M.19
Lakini yeye mwenyewe amewaomba viongozi wa timu yake 'washushe' dau lake ili aweze kujiunga CHELSEA FC.
Ikumbukwe kwamba kwa sasa Chelsea fC haina beki wa kushoto zaidi ya Cesar Azpilicueta. Tunamhitaji huyu jamaa.
Belgium 2 - 1 USA.[j.Green]
Kelvin De Bruyne.
Romelu Lukaku.
Hapo vipi?
Belgium 2 - 1 USA.[j.Green]
Kelvin De Bruyne.
Romelu Lukaku.
Hapo vipi?
De Bruyne anajua saana kijana yule. Inaonesha Chelsea ilifanya makosa kumuacha kirahisi kisa aliflop kwa mechi mbili tu. Mourinho aache kukurupuka na kuuza vipaji. Timu ya Ubelgiji inajengwa katika kijana huyu.
acha uhuni wewe mi nataka yule aliyefunga goli la pili ujerumani walipokutana na nigeria
yupi huyo tena?picha imekataa?au philipe luis?
Kufunga goli moja kunamfanya mtu kuwa mchezaji bora?
vipi, mbona hata Torres alifunga goli mechi vs Australia?
tulieni majirani..
Hapa umekurupuka maana sijazungumzia kufunga au swaumu nini?? Nimesema timu ya Ubeligiji inasimama juu ya kijana huyu!! Kama umetazama mechi zote tangu mzunguko utakubaliana nami. Chelsea ilifanya kosa kwa kumuhukumu dogo kisa alicheza chini ya kiwango mechi mbili tu. Wenye kuujua mpira wanaelewa nachosema, mtazame dogo huyu kwenye timu ya taifa.
De Bruyne anajua saana kijana yule. Inaonesha Chelsea ilifanya makosa kumuacha kirahisi kisa aliflop kwa mechi mbili tu. Mourinho aache kukurupuka na kuuza vipaji. Timu ya Ubelgiji inajengwa katika kijana huyu.
kumbuka kwamba benchi zima la ufundi hufanya uamuzi, pia usisahau kwamba kuna mkurugenzi wa ufundi ambaye majukumu yake ni kumshauri Mourinho.
Kumbuka pia kwamba Jose Mourinho anamjua Kelvin De Bruyne kuliko wewe unavyomjua. Pia kumbuka kwamba mimi namjua vizuri huyo mchezaji kuliko wewe.
Mimi namkubali huyo mchezaji tangu aliposajiliwa Chelsea, lakini lazima utambue kwamba kwenye maisha ni muhimu kutofautisha urafiki na uwezo.
Unaweza kuwa mshabiki wa mchezaji fulani; lakini hiyo haimaanishi kwamba yeye ni bora kuliko wengine.
Kevin De Bruyne's Characteristics
+ Strengths
[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Crossing [/TD]
[TD="align: right"] Very Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes [/TD]
[TD="align: right"] Very Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dribbling [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Taking set-pieces [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Weaknesses
[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Tackling [/TD]
[TD="align: right"] Very Weak[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Aerial Duels [/TD]
[TD="align: right"] Weak[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Defensive contribution [/TD]
[TD="align: right"] Weak[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
have u ever critisized JOSE MOURINHO????
huwezi kumfananisha rodriguez na costa,costa average sana
have u ever critisized JOSE MOURINHO????
unafikiri utasaidiwa ukianza kuleta ushabiki?
ulikuwa wapi wakati akicheza Chelsea fc, au wakati anacheza Bendesliga? Dogo Kelvin anajua lakini kuna tofauti kati ya kung'aa kwenye kombe la Dunia ambalo lina mechi 7 tu.
ligi mechi 38 + Fa Cup +Capitol one cup + Champions League...
acha mchezo na ligi kijana...hata kocha bora anapatikana kwenye ligi siyo timu ya taifa.
kumbuka kwamba benchi zima la ufundi hufanya uamuzi, pia usisahau kwamba kuna mkurugenzi wa ufundi ambaye majukumu yake ni kumshauri Mourinho.
Kumbuka pia kwamba Jose Mourinho anamjua Kelvin De Bruyne kuliko wewe unavyomjua. Pia kumbuka kwamba mimi namjua vizuri huyo mchezaji kuliko wewe.
Mimi namkubali huyo mchezaji tangu aliposajiliwa Chelsea, lakini lazima utambue kwamba kwenye maisha ni muhimu kutofautisha urafiki na uwezo.
Unaweza kuwa mshabiki wa mchezaji fulani; lakini hiyo haimaanishi kwamba yeye ni bora kuliko wengine.
Kevin De Bruyne's Characteristics
+ Strengths
[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Crossing [/TD]
[TD="align: right"] Very Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes [/TD]
[TD="align: right"] Very Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Dribbling [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Taking set-pieces [/TD]
[TD="align: right"] Strong[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Weaknesses
[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Tackling [/TD]
[TD="align: right"] Very Weak[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Aerial Duels [/TD]
[TD="align: right"] Weak[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Defensive contribution [/TD]
[TD="align: right"] Weak[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hebu twende taratibu kaka. Keleta ushabiki unamaanisha nini?? Mimi ni shabiki wa mpira na ndio maana nimechangia hapa. Kuhusu dogo De Bruyne ni kwamba ni miongoni mwa vijana wadogo ambao timu ya Chelsea iliwanunua na kumuacha timu aliyonunuliwa kwa msimu wa 2012. Msimu uliofuata 2012/2013 alipelekwa kwa mkopo na alipoonekana amefuzu alirejeshwa Chelsea kwa ajili ya kuja kuchezea timu kubwa. Ila bahati yake mbaya akakutana na mtu asiyejua kuwajenga watoto kisaikolojia Mr. Mourinho ambaye dogo alipokosea mechi mbili tu Mourinho alitoka nje na kuanza kumponda na kumkatisha tamaa. Kama ilivyokuwa kwa Lukaku, dogo alikata tamaa na ikalazimika kumuuza kwa Paund 18m. Hebu nambie kijana aliyenunuliwa miaka miwili tu nyuma kwa paundi 7m anapouzwa kwa 18m je huyo ni mbovu??
Kuna kitu ambacho unatakiwa ukifahamu kaka. Mourinho anatatizo la kutowaamini vijana na ndio maana hivi sasa yuko busy kununua wachezaji wapya huku akiua vipaji zaidi ya 20 vilivyopelekwa kwa mkopo timu nyingine. Lukaku alipelekwa kwa mkopo na kufunga goli 17, je washambuliaji wote waliobaki Chelsea walifunga goli ngapi?? Leo hii Mourinho na hicho unachokiita wewe uongozi wa Chelsea umakazana kununua Coasta, mtu ambaye ni prone wa majeraha na atakuwa na muda mrefu wa kujiadabt kwenye ligi ya uingereza huku wakimuacha Lukaku ambaye sasa amekuwa na yuko katika hali nzuri.
I won't wonder kama akina Ake, Omruo, na vijana wengine wakaishia kupoteza ndoto zao. Timu ya Chelsea chini ya Mourinho ni timu inayotaka ushindi wa muda mrefu. I'm sure na msimu huu mtaambulia patupu. Ilikuwa ndio muda wa kuwarudisha vijana waje wacheze na kuwaamini. Ila ndio kwanza mnaongeza msururu wa mibabu.
Usitake kumweka Mourinho nje ya lawama hizi.