timu ndogo ilituzungua msimu iliyopita now tunawapa tution,nye mnaojifanywa wakongwe tuliwapiga nje ndani,now tunawapiga nje ndani na upande upande.....waambie bana,
It's only Burnley na Leicester City,
Teams from lower league, sasa EPL ndio inaanza.
#MosKwito !
Kuna wapambe wake husafiri huku na kule duniani kuangalia wacheza ambao wanastahili kuangaliwa kwa macho mengine mawili kabla ya kusajiliwa. Naona 3 points zinanukia leo. Huyo kipa kifaa sana.
Tunamsubiri kwa hamu huyo mrembo pale anfield
timu ndogo ilituzungua msimu iliyopita now tunawapa tution,nye mnaojifanywa wakongwe tuliwapiga nje ndani,now tunawapiga nje ndani na upande upande.
Blue is the color,
Football is the game..............
Chelsea winners mwaka huu lazima mtu akae.
Twaweza rudia record zetu za 04/05 au kuzizidi.
muda wote meno nje..
raha ya ushindi.
Natabiri Costa kua mfungaji bora msimu huu! Na game ijayo lazima atupie!
Hela yake inatumika kihalali! Lazima afurahie FAIDA!
Mkuu andybird314 hilo swala na mimi nimeliona! Na muda so mrefu wataanza kulalamika kua ligi imekosa ubora na ushindani--timu inashinda tu na kutangaza ubingwa mapema. Kumbuka msimu ule waliongea mengi sn!
mimi nataka mechi ijayo vs Everton; Andre schurrle aanzie benchi; tumuanzishe Willian..willian anaufundi mwingi wa mpira kuliko Andre. Vijana wa Everton watatoa upinzani mkali sana jumamosi ijayo.
Willian anakaa na mpira, msumbufu, mbunifu, king'ang'anizi..yaani kama Hazard. Ila tofauti ni kwamba Willian ana kasi na maamuzi ya haraka.
Kama ikiwezekana..Oscar pia aanzie benchi kwa sababu amechoka sna na kombe la dunia. Mohamed Salah acheze pembeni; Willian acheze jukumu la Oscar.
Oscar na Schurrle waingie kipindi cha pili; iwe isiwe tutafikisha pointi 9 jumamosi.
kama kawaida yetu; one match at a time..