Jibu analo ila kujibu ni aibu.
Maana ni sawa na kusema,"NILIKESHA USIKU KUCHA NASOMA HALAFU MTIANI NIKAFELI,HUYU ALISOMA KIDOGO AKALALA HALAFU AKAFAULU"
Sa cjui apo na genius?
A
Ha ha ha. Una maana Kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe tu? Basi kama ni hivyo mpira magoli, ball possession mbwembwe tu!
Then na asilimia nyingine hamsini zimepotelea wapi?Kwa hiyo Football Efficiency Chelsea 50% Man u 0%. Hii ni kwa sababu timu zote mbili zilipiga mashuti mawili golini (shots on target
Ni kweli juhudi tumeziona kwa staili yoyote hata kununua marefa pia tumeona. Maana uzuri wa tehama ni kuwa lile tukio la Herrera kukwatuliwa ndani ya box halafu kadi anapewa yeye kila mtu mwenye akili timamu aliona.
Mpira wa England hautakaa uendelee kwa staili hii ya chelsea kununua waamuzi.
Yule mwamuzi alishawahi kufungiwa kwa kuboronga kwenye maamuzi, sababu kuu jamaa ni corrupt ajabu.
Timu ya Man kumbe wajinga kuanzia wachezaji hadi washabiki
Then na asilimia nyingine hamsini zimepotelea wapi?
Timu ya Man kumbe wajinga kuanzia wachezaji hadi washabiki
Hiv chelsea akifungwa mech zoote..man u akishinda mech zoote..nan atakuwa bingwa??
Hizi nazo ni ndoto za alinacha
Kwan mkuu haliwezekan..??possible mbona liver sasa anchapwa tu...naye chelsea inawezekana akafungwa mech zoote
Endelea kulala usiamke,hili uendelee kuota Hiyo ndoto.maana ukiamka tu utakuta Chelsea kesha kuwa bingwa.
Najua unaongelea probability.
Na uwezekano wa Chelsea kuchukua ubingwa ni 95℅ yaani banda au a+.
Inawezeka man u akachukua ubingwa ila hayo ni MAAJABU DUNIANI..
kwa ushauri tu,jaribuni labda mwakani.
Mkuu@mlugwa..una maneno makal na ya kukatisha tamaa..ila kuna kauhalisia man u mwakan ndoo yetu mkuu...nyinyi tamben tu
Mjinga ni yule anayeanza kutukana badala ya kujibu hoja. Nani hakuona kabla ya kufungwa goli lilr kuna faulu ilichezewa Man U refa akapeta?
Ni mjinga tu ndiye ambaye hakuona kama Herrera alifanyiwa faulo ndani ya box refa akapeta na kumzawadia yellow card Herrera?
Mjinga ni yule anayeanza kutukana badala ya kujibu hoja. Nani hakuona kabla ya kufungwa goli lilr kuna faulu ilichezewa Man U refa akapeta?
Ni mjinga tu ndiye ambaye hakuona kama Herrera alifanyiwa faulo ndani ya box refa akapeta na kumzawadia yellow card Herrera?