Chelsea hakuna mpira pale ila kuna Mourinho

Chelsea hakuna mpira pale ila kuna Mourinho

Jibu analo ila kujibu ni aibu.
Maana ni sawa na kusema,"NILIKESHA USIKU KUCHA NASOMA HALAFU MTIANI NIKAFELI,HUYU ALISOMA KIDOGO AKALALA HALAFU AKAFAULU"
Sa cjui apo na genius?

A

Ha ha ha. Una maana Kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe tu? Basi kama ni hivyo mpira magoli, ball possession mbwembwe tu!
 
Ha ha ha. Una maana Kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe tu? Basi kama ni hivyo mpira magoli, ball possession mbwembwe tu!

Ongeza sauti wakusikie hao mashabiki vichwa ngumu,wanaotaka point 3 kwa kukuhesabu pasi ambazo haziwainui kwenye viti
 
Ni kweli juhudi tumeziona kwa staili yoyote hata kununua marefa pia tumeona. Maana uzuri wa tehama ni kuwa lile tukio la Herrera kukwatuliwa ndani ya box halafu kadi anapewa yeye kila mtu mwenye akili timamu aliona.
Mpira wa England hautakaa uendelee kwa staili hii ya chelsea kununua waamuzi.
Yule mwamuzi alishawahi kufungiwa kwa kuboronga kwenye maamuzi, sababu kuu jamaa ni corrupt ajabu.

wewe ni mpuuzi yule kajikwatulisha hajakwatuliwa
 
Man sio wajinga mjinga wwe hujui unaongea nni naomba msikilize kocha wenu anacho kiongea utajuwa man ni timu kubwa na kama mechi inayofuata mtacheza mpira mbovu kama mliocheza lazima mtapigwa na Asernal.
 
Kaa na akili zako hapo hapo. Chelsea taifa jingine lile. Kaeni na van mabua wenu.
 
Hiv chelsea akifungwa mech zoote..man u akishinda mech zoote..nan atakuwa bingwa??
 
Timu ya Man kumbe wajinga kuanzia wachezaji hadi washabiki

Yaani wana hasira kali, wamenuna, halafu wanadai eti timu yao imecheza vizuri, kama ni hivyo mbona wamenuna? Wananuna nini wakati timu yao imecheza vizuri? Wamenuna kuanzia kocha, wachezaji mpaka mashabiki! Tatizo walipowafunga liverpool na man city wakajidanganya kuwa watavuka na DARAJA! Matokeo yake wakakuta kumbe bado inabidi wasubiri sana kupata ubavu wa kulivuka daraja! Sasa kila mtu anasema lake, wengine wanasema ni sababu ya majeruhi, wengine sababu ya refarii, wengine sababu mmepata bus! Lakini ukweli ni kwamba hawajafikia kiwango cha kuvuka DARAJA! Wataendelea kuhubiri sana.
 
mou kasema ile ilikuwa plan yake achawacheze mpira halafu kosa likitokea tunaua ndicho kilichotokea
 
Then na asilimia nyingine hamsini zimepotelea wapi?

Kila timu ikicheza perfectly maana yake ni kuwa kila shot on target ilete goli. Kwa asilimia hamsini za jitihada hazikuleta matarajio yalihokusudiwa. Kwa Man u asilimia zote mia moja ya jitihada yao hazikuleta matokeo yaliyotarajiwa!
 
Timu ya Man kumbe wajinga kuanzia wachezaji hadi washabiki

Mjinga ni yule anayeanza kutukana badala ya kujibu hoja. Nani hakuona kabla ya kufungwa goli lilr kuna faulu ilichezewa Man U refa akapeta?
Ni mjinga tu ndiye ambaye hakuona kama Herrera alifanyiwa faulo ndani ya box refa akapeta na kumzawadia yellow card Herrera?
 
Man U bure kabisa...zama za kina Web kuwabeba hazipo tena...mtaisoma tu possession yenu ila tuone kama kuna standardization mtafanyiwa ili possession ibadilike kuwa point tatu!
 
Kwan mkuu haliwezekan..??possible mbona liver sasa anchapwa tu...naye chelsea inawezekana akafungwa mech zoote

Endelea kulala usiamke,hili uendelee kuota Hiyo ndoto.maana ukiamka tu utakuta Chelsea kesha kuwa bingwa.

Najua unaongelea probability.
Na uwezekano wa Chelsea kuchukua ubingwa ni 95℅ yaani banda au a+.

Inawezeka man u akachukua ubingwa ila hayo ni MAAJABU DUNIANI..

kwa ushauri tu,jaribuni labda mwakani.
 
Mkuu@mlugwa..una maneno makal na ya kukatisha tamaa..ila kuna kauhalisia man u mwakan ndoo yetu mkuu...nyinyi tamben tu
 
Mjinga ni yule anayeanza kutukana badala ya kujibu hoja. Nani hakuona kabla ya kufungwa goli lilr kuna faulu ilichezewa Man U refa akapeta?
Ni mjinga tu ndiye ambaye hakuona kama Herrera alifanyiwa faulo ndani ya box refa akapeta na kumzawadia yellow card Herrera?

Kateni rufaa!
 
Waswahili watu wa ajabu. Mnakashfiana na kurushiana maneno kwa kushabikia timu za wazungu ambao wengine hata ukiwauliza Tanzania iko wapi hawajui! Pathetic.
 
Mjinga ni yule anayeanza kutukana badala ya kujibu hoja. Nani hakuona kabla ya kufungwa goli lilr kuna faulu ilichezewa Man U refa akapeta?
Ni mjinga tu ndiye ambaye hakuona kama Herrera alifanyiwa faulo ndani ya box refa akapeta na kumzawadia yellow card Herrera?

Naona wewe uko kimapenzi zaidi na mapenzi yakizidi linakuwa limbwata ndiyo maana huwezi kuongelea kosa la de gea la kukamata mpira nje ya eneo lake
 
Back
Top Bottom