mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha Lampard we unategemea nini? Jamaa halijui kutoa hamasa lipolipo tu
Fanya haraka Mama Machipsi uweke neti na unipatie mto nipumzike kesho asubuhi nawahi kibaruani kuwatafutia msosi akina Chausiku...[emoji2960]Msiba kupokezana. Msimu ujao sijui nani atapokea kijiti cha kuwa chama la wana
Hujui kuandika mkuuForm ya Chelsea kwa mchi tano! LOST 0 - 2 AGAINST ASTON VILLA ON APRIL 1ST 2023. DREW 0 - 0 AGAINST LIVERPOOL ON APRIL 4TH 2023. LOST 0 - 1 AGAINST WOLVERHAMPTON WANDERERS ON APRIL 8TH 2023. LOST 1 - 2 AGAINST BRIGHTON & HOVE ALBION ON APRIL 15TH 2023. LOST 0 - 2 AGAINST BRENTFORD ON APRIL 26TH 2023. Na leo ndo hivyo tena hadi mapumziko imefungwa 3 - 0 na Arsenal.
Man yuMsiba kupokezana. Msimu ujao sijui nani atapokea kijiti cha kuwa chama la wana
ArsenalMsiba kupokezana. Msimu ujao sijui nani atapokea kijiti cha kuwa chama la wana
Hii timu imekuwa ya kijinga mpaka basi. Binafsi najuta kuwa mmoja wa mashabiki wake.Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
Tupo wengi mkuu TU mute kidogo bila timuHii timu imekuwa ya kijinga mpaka basi. Binafsi najuta kuwa mmoja wa mashabiki wake.