Chelsea imekuwa "punching bag"!: Kila timu inajipigia tu!

Wapigwe tu maana hamna namna, wamesajili Kwa pupa pupa
 
Form ya Chelsea kwa mechi tano! LOST 0 - 2 AGAINST ASTON VILLA ON APRIL 1ST 2023. DREW 0 - 0 AGAINST LIVERPOOL ON APRIL 4TH 2023. LOST 0 - 1 AGAINST WOLVERHAMPTON WANDERERS ON APRIL 8TH 2023. LOST 1 - 2 AGAINST BRIGHTON & HOVE ALBION ON APRIL 15TH 2023. LOST 0 - 2 AGAINST BRENTFORD ON APRIL 26TH 2023. Na leo ndo hivyo tena hadi mapumziko imefungwa 3 - 0 na Arsenal.
 
Hujui kuandika mkuu
 
Imekuwa kama demu kicheche hata domo zege anajifunzia kutom6@
 
Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
Hii timu imekuwa ya kijinga mpaka basi. Binafsi najuta kuwa mmoja wa mashabiki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…