RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Nov 8, 2018 #1 Baada ya MAN U kumfunga Juventus hapo jana ni rasmi sasa CHELSEA ndiyo timu pekee katika Ligi 5 bora Ulaya ambayo haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa 2018/2019 katika mashindano yote
Baada ya MAN U kumfunga Juventus hapo jana ni rasmi sasa CHELSEA ndiyo timu pekee katika Ligi 5 bora Ulaya ambayo haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa 2018/2019 katika mashindano yote
Goodluck Mchika JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 1,228 Reaction score 1,138 Nov 8, 2018 #2 Sawa sawa
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Nov 8, 2018 #3 inaongoza ligi gani ?
B Baba Kiki JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,544 Reaction score 943 Nov 8, 2018 #4 MO11 said: inaongoza ligi gani ? Click to expand... Ya kutokufungwa
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 2,902 Reaction score 1,875 Nov 8, 2018 #5 Ukikosa ndege basi hata baiskeli ujivunie.
RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Nov 8, 2018 Thread starter #6 delako said: Ukikosa ndege basi hata baiskeli ujivunie. Click to expand... Sanaa yani kila mtu ujivunia kile alichonacho
delako said: Ukikosa ndege basi hata baiskeli ujivunie. Click to expand... Sanaa yani kila mtu ujivunia kile alichonacho
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Nov 8, 2018 #7 Atabikiliwa tu
Bukali JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,264 Reaction score 835 Nov 8, 2018 #8 Kwani kasha kutana na Man city, Liverpool, Hatawale watakao shuka championship watamtoboa tu.
RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Nov 8, 2018 Thread starter #9 Bukali said: Kwani kasha kutana na Man city, Liverpool, Hatawale watakao shuka championship watamtoboa tu. Click to expand... Liverpool tayari kajitaidi kapata sate na mechi moja nimemgonga kwake team iliyobaki ni Man City tu
Bukali said: Kwani kasha kutana na Man city, Liverpool, Hatawale watakao shuka championship watamtoboa tu. Click to expand... Liverpool tayari kajitaidi kapata sate na mechi moja nimemgonga kwake team iliyobaki ni Man City tu
T the muter JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 1,347 Reaction score 1,828 Nov 10, 2018 #10 cheza uefa ukutane na juve au barca, madrd, psg, at madrid au buyern. Hapo ukijisifia hujapoteza game una haki sio kucheza na Bate barisov
cheza uefa ukutane na juve au barca, madrd, psg, at madrid au buyern. Hapo ukijisifia hujapoteza game una haki sio kucheza na Bate barisov