Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu
Chelsea bhana wana mpango wa kuwasajili neymar, sancho pamoja na chilwell
Chelsea kwa sancho na chilwell mimi nawaunga mkono ila kwa huyo bitoz mimi siwaungi mkono kabisa hata kidogo
Japo wenyewe wanadai kwamba wanataka wakuze brand ya team ambayo kwa sasa imepotea baada ya hazard kusepa
Neymar ni bishoo tu wala hana lolote Chelsea mnaenda kulamba gharasa na kupoteza pesa za boss wenu roman Abraham
Riport ya Chelsea kumtaka neyma endapo wataruhusiwa kusajili mwezi wa kwanza imeripotiwa na vyanzo kadhaa vya habari
Chelsea wametenga paund kama 190 hivi milion
Sio kirahisi hivyo?! Hizo media zimeshindwa kumkuza Lukaku?!Sijawah kumkubali Neymar hata kdogo, naona hapishani tu na s
Samata, Bora hata Samata anafight, neyma ni kujiangusha Tu ni kama karatasi inayopepea uwanjan, kama kuna wachezaji Wana bahati basi Neymar ni mmoja wao, media zimemkuza kuliko uhalisia, jamaa ana bahati Sana kama ole guna kufundisha Man u...
Hhahahaahahaa Dada bhana upo kote kote MWAMBA [emoji23]Ni huyu Neymar wa huku kwetu Kwamtogole?
Hata me neymar simkubali.Mimi ni mayala bishoo ni neymar
Hahahaaha
Kunywa bia wewe,mambo ya Chelsea yatakusaidia nini?
Ni huyu Neymar wa huku kwetu Kwamtogole?