Chelsea kumsajili neymar ni chaguo sahihi au wamekurupuka tu

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu

Chelsea bhana wana mpango wa kuwasajili neymar, sancho pamoja na chilwell

Chelsea kwa sancho na chilwell mimi nawaunga mkono ila kwa huyo bitoz mimi siwaungi mkono kabisa hata kidogo

Japo wenyewe wanadai kwamba wanataka wakuze brand ya team ambayo kwa sasa imepotea baada ya hazard kusepa

Neymar ni bishoo tu wala hana lolote Chelsea mnaenda kulamba gharasa na kupoteza pesa za boss wenu roman Abraham

Riport ya Chelsea kumtaka neyma endapo wataruhusiwa kusajili mwezi wa kwanza imeripotiwa na vyanzo kadhaa vya habari

Chelsea wametenga paund kama 190 hivi milion
 
Wana mwalimu na benchi la ufundi kwa hiyo wao ndio wenye kujua ni nani wa kufanya nini katika timu na kwa wakati gani!
 
Sijawah kumkubali Neymar hata kdogo, naona hapishani tu na s
Samata, Bora hata Samata anafight, neyma ni kujiangusha Tu ni kama karatasi inayopepea uwanjan, kama kuna wachezaji Wana bahati basi Neymar ni mmoja wao, media zimemkuza kuliko uhalisia, jamaa ana bahati Sana kama ole guna kufundisha Man u...
 
Bro wewe una akili kuliko benchi la ufundi na menejimenti nzima ya Chelsea?

..........Wenzenu mpira ni biashara.
 
Wewe ndio bishoo..
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu

Chelsea bhana wana mpango wa kuwasajili neymar, sancho pamoja na chilwell

Chelsea kwa sancho na chilwell mimi nawaunga mkono ila kwa huyo bitoz mimi siwaungi mkono kabisa hata kidogo

Japo wenyewe wanadai kwamba wanataka wakuze brand ya team ambayo kwa sasa imepotea baada ya hazard kusepa

Neymar ni bishoo tu wala hana lolote Chelsea mnaenda kulamba gharasa na kupoteza pesa za boss wenu roman Abraham

Riport ya Chelsea kumtaka neyma endapo wataruhusiwa kusajili mwezi wa kwanza imeripotiwa na vyanzo kadhaa vya habari

Chelsea wametenga paund kama 190 hivi milion
 
Sacho awawez msajir coz ya odoi pia na Alonso maisha yamesha mshidah naona chidwel anachukua nafci yk
 
Sijawah kumkubali Neymar hata kdogo, naona hapishani tu na s
Samata, Bora hata Samata anafight, neyma ni kujiangusha Tu ni kama karatasi inayopepea uwanjan, kama kuna wachezaji Wana bahati basi Neymar ni mmoja wao, media zimemkuza kuliko uhalisia, jamaa ana bahati Sana kama ole guna kufundisha Man u...
Sio kirahisi hivyo?! Hizo media zimeshindwa kumkuza Lukaku?!
 
Back
Top Bottom