crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Kama team yako hainunui hiyo sio shida yao, kuna sheria imevunjwa?Dunia haipo sawa kabisa,
Hawa jamaa wametumia zaidi ya pauni mil.550 tangu timu ichukuliwe na bw.todd boehly septemba mwaka jana.
Hii pesa ni zaidi ya bilioni 1000 za kibongo hawa jamaa wananunulia wachezaji tu.
Mtu ana pesa na kutumia apangiwe🤣🤣🤣🤣🤣Kweni kuna kanuni yoyote walovunja kwa kufanya matumizi hayo?
Kama hakuna basi ni sawa tu
Acha kuwaza umaskini. Hiyo ni pesa kidogo sana katika uwekezajiHii pesa ni zaidi ya bilioni 1000 za kibongo hawa jamaa wananunulia wachezaji tu.