Chelsea kutumia zaidi ya tri.1 kusajili wachezaji kwa miezi 5

Chelsea kutumia zaidi ya tri.1 kusajili wachezaji kwa miezi 5

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Dunia haipo sawa kabisa,

Hawa jamaa wametumia zaidi ya pauni mil.550 tangu timu ichukuliwe na bw.todd boehly septemba mwaka jana.

Hii pesa ni zaidi ya bilioni 1000 za kibongo hawa jamaa wananunulia wachezaji tu.
 
Kweni kuna kanuni yoyote walovunja kwa kufanya matumizi hayo?

Kama hakuna basi ni sawa tu
 
Dunia haipo sawa kabisa,

Hawa jamaa wametumia zaidi ya pauni mil.550 tangu timu ichukuliwe na bw.todd boehly septemba mwaka jana.

Hii pesa ni zaidi ya bilioni 1000 za kibongo hawa jamaa wananunulia wachezaji tu.
Kama team yako hainunui hiyo sio shida yao, kuna sheria imevunjwa?
 
Hii pesa ni zaidi ya bilioni 1000 za kibongo hawa jamaa wananunulia wachezaji tu.
Acha kuwaza umaskini. Hiyo ni pesa kidogo sana katika uwekezaji

Usidhani wanaponunua mchezaji ni sawa na wewe unaponunua nguo. Mchezaji ni assets au mali na katika vitabu kampuni bado inasoma thamani ileile. Wanategemea asset yao itazalisha, yaani kutwaa makombe n kufanya vizuri uwanjani kuvutia watazamaji wengi na wadhamini.

Mwisho wa siku watamuuza. Hii inategemea ikiwa amefanya vyema bei inapanda, amefanya vibaya bei inashuka.

Huo ni uwekezaji mkuu, acha kuwaza kimaskini
 
Back
Top Bottom