Chelsea mbioni kumrejesha Lampard hadi mwisho wa msimu

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza iko mbioni kumrejesha klabuni hapo mchezaji na kocha wake wa zamani kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu

Kwa mujibu wa Fabrizio Romano klabu hiyo inaendelea na mazungmzo na Julian Nagelsmann pamoja na Luis Enrique ili kupata mwalimu wa kudumu wa klabu hiyo

Inaelezwa kuwa Lampard yuko tayari kuwa Kocha wa muda wa Chelsea.

 
Watakuwa wameishiwa, hapo wamuokote Konte chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…