Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Huku kukiwa na pilika pilika ya vilabu vya EPL kufanya usajili vikijiwinda kuanza kwa MSIMU mpya wa ligi 2016/2017.. Lakini klabu yangu pendwa niliyo na mahaba nayo CHELSEA mpaka sasa imefanya usajili wa wachezaji wawili tu.. Ng'olo Cante na Batshuay... Sina hakika kama wapo wengine (sijasikia) Huku wenzetu wakiendelea kusajili na kutaja majina (Arsenal)... Sisi tumeshindwa kutaja hata majina, klabu ikionekana dhahiri bishahiri Kuwa na mahitaji ya beki wa kati kiungo na striker... Inakuaje, Conte ana mipango gani na club... MSIMU ndo huoooo..