Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
daa arsenal katupiga kilaini tu
Huyu jamaa yenu nae alichangia sana nyie kupigwa kilaini.
Hakuna alichokuwa anafanya zaidi ya kucheza na refa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daa arsenal katupiga kilaini tu
View attachment 406818
Huyu jamaa yenu nae alichangia sana nyie kupigwa kilaini.
Hakuna alichokuwa anafanya zaidi ya kucheza na refa
Alicheza kwa mazoea akitegemea atafanya kama alivyowahi kufanya kwenye mechi za nyuma na chelsea kushinda kwa advantage ya one man downNamkubali Costa Basi tu game juzi ilikataa
Alicheza kwa mazoea akitegemea atafanya kama alivyowahi kufanya kwenye mechi za nyuma na chelsea kushinda kwa advantage ya one man down
itatuua wengi
Tulieni tu Messi anakuja huko kuwaadhibu...
Nesi huyo atatulizwa tu
Ha haa utakubaliana na mimi....post itakuwa shahidi
Namkubali Costa Basi tu game juzi ilikataa
Conte, conteee, tafadhali pressure zipo juu jamani
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app