Chelsea ni sikio la kufa na inaenda kupotea mazima

Chelsea ni sikio la kufa na inaenda kupotea mazima

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Pochettino hana uwezo wa kufundisha timu yenye malengo makubwa,hivyo anaenda kuipeleka hii timu kuwa midtable team.....

Mtag mmaliza chaki yeyote unayemfahamu,mimi naanza na lembu
 
Toa na suggestions zako unaona nani angestahili kuwa manager wao.

Inawezekana plan yake ikasucceed ndani ya Chelsea
 
Epl kuna ukiritimba mbovu sn wakuona wawekezaji toka uarabuni hawafai ilandio kinachowaumiza Chelsea,Liver,man utd ...angalia Newcastle and man city wanafurahia uwekezaji kwakua muarabu hana limit. ..utd wanataka kurudia ujinga wao kwa kumpatia muingereza team wkt muarabu anahela za mafuta wanamuwekea kauzibe
 
Aione kwenye faili OllaChuga Oc [emoji4]
JamiiForums1660384498.jpg
 
Jose Mourinho ndiye kiboko ya wachezaji wavivu na wazembe waliojazana pale Chelsea. Kuwapelekea makocha wapole, kamwe hakuwezi kuirejesha hii timu kwenye mstari.
 
Jose Mourinho ndiye kiboko ya wachezaji wavivu na wazembe waliojazana pale Chelsea. Kuwapelekea makocha wapole, kamwe hakuwezi kuirejesha hii timu kwenye mstari.
Mourinho walimpigia simu jamaa akazingua, hao wamiliki ni Sawa na Yule wa Tottenham wanademand matokeo kutoa mtonyo wa maana kwenye usajili wanazingua na pia hawampi backup manager ya kimaamuz , vichezaji vinakuwa na kibri , kocha lazima uchochore tuu
 
Pochettino hana uwezo wa kufundisha timu yenye malengo makubwa,hivyo anaenda kuipeleka hii timu kuwa midtable team.....

Mtag mmaliza chaki yeyote unayemfahamu,mimi naanza na lembu
Ndomaana alipewa mkataba wa miaka mitatu tu.
 
Huyo mmarekani( Bohly) ataiangamiza Chelsea kwa hizi akili zake za kijinga.

Hii timu inaenda kuwa ya kuwa ya kawaida Sana na watu hawataamini
 
chelsea the blues msimu ujao itakuwa kama barca ya zamani..
 
Back
Top Bottom