Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimbatzz NALIA NGWENAPochettino hana uwezo wa kufundisha timu yenye malengo makubwa,hivyo anaenda kuipeleka hii timu kuwa midtable team.....
Mtag mmaliza chaki yeyote unayemfahamu,mimi naanza na lembu
Nafikiri Luis Henrique lilikuwa chaguo bora sana kwao kucompare na huyu Poch,maana PSG alipewa kila kitu ila alichokifanya anajua mwenyeweToa na suggestions zako unaona nani angestahili kuwa manager wao.
Inawezekana plan yake ikasucceed ndani ya Chelsea
Mourinho walimpigia simu jamaa akazingua, hao wamiliki ni Sawa na Yule wa Tottenham wanademand matokeo kutoa mtonyo wa maana kwenye usajili wanazingua na pia hawampi backup manager ya kimaamuz , vichezaji vinakuwa na kibri , kocha lazima uchochore tuuJose Mourinho ndiye kiboko ya wachezaji wavivu na wazembe waliojazana pale Chelsea. Kuwapelekea makocha wapole, kamwe hakuwezi kuirejesha hii timu kwenye mstari.
Ndomaana alipewa mkataba wa miaka mitatu tu.Pochettino hana uwezo wa kufundisha timu yenye malengo makubwa,hivyo anaenda kuipeleka hii timu kuwa midtable team.....
Mtag mmaliza chaki yeyote unayemfahamu,mimi naanza na lembu
Naunga mkono hoja