Chelsea wanataka kumsajili isco kwa paund mil 100

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Chelsea baada ya kup
igwa ban yakutosajili madirisha mawili na ban yao itaisha january.wamejipanga kumsajili kiungo machachari wa real Madrid majira ya kiangazi ambapo ban yao itakuwa imeisha kwa kutoa paundi mil 100 kwa isco Kama priority yao ya kwanza ya kusajili.

NB: haya si matumizi mabaya ya fedha kweli? ni kweli isco ni mzuri lakini si kwa kiasi hicho Cha fedha kwangu naona watoe paundi mil 60 ndio inastahili ila sio 100.
 
Kwan wameshamsajili mpak unawalaumu?
 
Acha uchizi we kila tetesi unazani kweri uyo n mchezaji wa mkopo kama kovasic
 
itakua akil kichaa kuuz hazard n kumsjil isco..
 
ban inaisha january.? au nimesoma vby.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…