Chelsea baada ya kup
igwa ban yakutosajili madirisha mawili na ban yao itaisha january.wamejipanga kumsajili kiungo machachari wa real Madrid majira ya kiangazi ambapo ban yao itakuwa imeisha kwa kutoa paundi mil 100 kwa isco Kama priority yao ya kwanza ya kusajili.
NB: haya si matumizi mabaya ya fedha kweli? ni kweli isco ni mzuri lakini si kwa kiasi hicho Cha fedha kwangu naona watoe paundi mil 60 ndio inastahili ila sio 100.