Chelsea ya sasa hivi imekuaje?

Chelsea ya sasa hivi imekuaje?

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Hii timu haieleweki kiukweli,ilivyofunguliwa ile ban ya kusajili nikajua timu itasajili watu wa maana lakini imekua hovyo,Abramovich huyu sio yule ambaye alikua haoni shida kutoa hela ya maana ya usajili,kiufupi Chelsea bora ya mwisho ni ile aliyoiacha Antonio Conte tu basi,baada ya hapo hakuna kitu,timu ina wachezaji wengi wazee na mizigo, kocha anaendelea kuendekeza uingereza wake kwa wachezaji anaowataka,nyakati kama hizi za usajili Chelsea ilikuwa inahusishwa na kila mchezaji mkubwa sahizi imekua tofauti,Leo zinatoka taarifa kuwa Giroud anaendelea kubaki ktk timu kwa maana hiyo hakuna striker mpya anayekuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😃😃

Straika mpya wa nini wakati mnae Giroud mfungaji mzuri tu😅😅😅😅😅
 
Hata me binafsi sifurahishi na board ya Chelsea inatukosea Sana mashabiki yaani imekuwa team ya tetesi tu.
 
Yani watu wanahangaika kusajili mastraika, Chelsea wanachkua wafuga ndevu 😅😅

Eti Giroud😅😅😅
 
Mashabiki wa chelsea muwe mnafuatilia hata siasa za uingereza mtaelewa mpira!!!Abramovich kapigwa ban kuingia uengereza hata figisu za kufungiwa na fifa usajili ni siasa zilezile za warusi na waingereza!kisa ni kutegwa sumu kwa jasusi wa kirusi aliekuwa uhamishoni uk!!!!Hivyo waingereza wanamchomesha roman aachie tim!!sasa na yeye kichwa ngumu hataki kuiuza tim ya chelsea!!!Hata uwekezaji wake ni wa kulegalega kwa sasa!!ndio mana chelsea haisajili na imemchukua kocha dhaifu mzawa ili kuiokoa angalau na hasira za waingereza!!!?
 
Wewe ndo ujui mchezo; timu kusajili na kutokusajili ni mipango ya bodi. Kuna timu nyingi zilishafanya usajili wa maana lakini wameshindwa kuperform vizuri. Timu haiwezi kufanya tu usajili kisa watu wa nje wanasema.

Watu hawaangalii madhara ya kufanya usajili januari alafu tena juni ikafanya usajili. Juni Chelsea wataingia sokoni na watapata wachezaji anaowataka siyo mchezaji unamsajili akusaidie ligi moja tu.
 
Roman hawezi wekeza sana tena pale chelsea kama zamani!!!Hana access tena ya timu na amemuachia Marina Granovaskaiar kama mtendaji mkuu!!!Waingereza wanampiga pini ili auze timu kwa kumwekea vikwazo!!!Walikuwa na mpango wa kuishusha chelsea lakini Roman akashtuka akampa mzawa timu!ndo mana hawekezi tena sana kama zamani!!!!hata wakati wa summer hawatonunua wachezaji unaofikiria huo ndio ukweli!!!
 
Kama ni hivyo mbona alitoa paundi million150 za usajili wa January tatizo Chelsea ni huyo Maria kutokuwa sharp kwenye usajili.
 
Mfumo wa uchezaji uingereza unataka wachezaji wepesi,wenye nguvu na kasi ya halo ya juu,sasa hawa Chelsea wanacheza show game na kupoza mpira,utashinda timu ngapi uingereza?

Wataendelea kushinda wanaokimbiza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom