venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Hii timu haieleweki kiukweli,ilivyofunguliwa ile ban ya kusajili nikajua timu itasajili watu wa maana lakini imekua hovyo,Abramovich huyu sio yule ambaye alikua haoni shida kutoa hela ya maana ya usajili,kiufupi Chelsea bora ya mwisho ni ile aliyoiacha Antonio Conte tu basi,baada ya hapo hakuna kitu,timu ina wachezaji wengi wazee na mizigo, kocha anaendelea kuendekeza uingereza wake kwa wachezaji anaowataka,nyakati kama hizi za usajili Chelsea ilikuwa inahusishwa na kila mchezaji mkubwa sahizi imekua tofauti,Leo zinatoka taarifa kuwa Giroud anaendelea kubaki ktk timu kwa maana hiyo hakuna striker mpya anayekuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app